Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

My Wii wew unaweza kuwa royal Kuna wazazi wakatili balaa πŸ˜€ unaweza tamni Hama ukoo
Hao wazazi wangu ukatili wao wapeleke huko wasinizoee.!! Wao wakati wananyapiana niliwaingilia?? Kwanza nishawaambia mimi sina dini, nimuache mtu anayenikuna vizuri niwaendekeze wao waliomaliza mwendo THUBUTUUU 😹😹🀣🀣🀣
 
Wewe una uthubutu sisi wengine ni WA kupangiwa Tena mm na uzee huu et wananipangia jmn tena sio mara moja natamni nihame ukoo huo wa kwenu umejaa?πŸ˜ƒ
 
Wewe una uthubutu sisi wengine ni WA kupangiwa Tena mm na uzee huu et wananipangia jmn tena sio mara moja natamni nihame ukoo huo wa kwenu umejaa?πŸ˜ƒ
Mimi ningepata wazazi jau ningebeba mimba halafu tuone watasemaje 😹

Hao unawachekea dini zililetwa na wazungu na waarabu hata sizizingatii..!!
Njoo wifi ingia kwa cazee akupige kitumbo tulete posa 😹😹🀣
 
Mimi ningepata wazazi jau ningebeba mimba halafu tuone watasemaje 😹

Hao unawachekea dini zililetwa na wazungu na waarabu hata sizizingatii..!!
Njoo wifi ingia kwa cazee akupige kitumbo tulete posa 😹😹🀣
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒUna mbinu wii
 
Piga chini
 
Kwa mwanamke kumpoteza mwanaume kisa dini ni ujinga wa kiwango cha lami.

Yani dini uliyozaliwa ukaikuta na mpaka leo inaonekana hili dude lililetwa kutoka huko bado watu wanashinikizwa kuacha mapenzi kisa dini?

Hasa kwa Afrika yani dini inchukuliwa kama ndio Mungu mwenyewe. Tutaendelea kuwa maskini wa fikra na mali kisa dini.
 
Huyu nipe Mimi mkuu
 
Badili wewe
 
Watu wa dini wanazidiwa upendo hadi na Wapagani.
 
Mimi sijaelewa Dini ni jambo la Mungu si ndio hivyo. Kwa hiyo unatoka dini hii unaenda kwenda dini hii kufuata ndoa?

Nyie watu mbona mnafanya dhihaka sana. Hamuogopi.
 
Kwahiyo tafsiri ya mtu sahihi ni dini?
Km wa dini moja ndio mtu sahihi why ndoa zinavunjika?
Imagine umemkuta ana vigezo vyote vya kuwa mke au mume ila kwakuwa sio wa dini yako unaachana nae unaenda kuoa au kuolewa na mzinzi pro max.

Nikipendekeza watu wa dini wapimwe akili huwa naitwa Ibilisi.
 
Katika kitu Mwafrika ameshindwa kutofautisha ni Dini na Mungu.

Mungu ni Mungu na dini ni matendo ya wanadamu.

Utasikia dini yangu inakataza na hutomsikia akisema Mungu anakataza.
 
Hiki unachosema Kuna bestii yangu anapitia kwasas mnafanan au n wewe mkuu upo mkoa gan na Binti ulikutanaye mkoa gan real as fact.niambie naweza kupa feedback mkuu
 
Mkuu kama unayosema ni kweli hiyo Mali usiiache piga mimba haste haste akizaaa mtoto wa Pili ndo muamue we uitwe Daniel au yeye aitwe Nasra
 
Weka mimba hiyoooo mburukenge watakuozesha wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…