Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Habari za mda huu Wana fj.?
mimi mdogo wenu katik ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo!
Nipo chuo kikuu kwa Jina (naomba niifadhi) nasomea udaktari/MD lakini ivi juzi Kati Kuna mambo yalitokea kiukwel nimekuwa mtu wa mawazo sana kwasababu
nimerudia semister chuoni ila tatizo ni kwamba Kuna daktar ambaye kwa kweli alinifelisha kwenye somo La clinical na kunipa 35% makusudi kabisa ila theory nilikuwa na A ya 85% ila sasa kama mnavotambua kwa masomo yetyu ya afya lazima ufaulu kote at least 50% ndo pass marks. ila daktar uyo alinifelisha pasina kujua tatizo. Changamoto kubwa I nakuj kweny kurudia somo moja (paedtric), kwanza sikubahatika kupata mkopo wala sponsorship, wazazi ndo wananipa support na kwa wale mliopitia chuoni nadhan ugumu mnaujua,
kwa Sasa nimebakiza mwaka mmoja nitimu masomo angu kwa kwelii chuoni najituma kwenye kusoma ata Kuna wakati silali ata masomo mengine almost masomo yangu yote Nina A na sijawahi kupata C tangu niingie chuoni kabisa yaan ,
Sasa nimeamua kurudia ivo kwa kuwa mpini kashika yeye na mm makali lazima niumie. Nikijifanya niko juu au Kuja juu nitaumia mm na still na malengo makubwa.
kinachonipa matumaini nikuwa principal wa chuo aliona matokea angu nakuzungumzia swala Hilo nakunipa pole ila kaniahidi kuwa atalisimamia next exam clinical isitokee hivo.,
maana Kuna uwonevu ndani ake maana walijadiliana wenyewe maana clinical exam kufel ni ngumu sana.
Swali langu ni je ww ulishawahi kukutana na changamoto kama hii na nini mwisho wake ilikuwa je ?
Samahanini lakini kwa uwandishi mpovu, mtanisamehe kwa hilo
niwatakie ujenzi mwema ktk Taifa.
Kama medical students wa siku hizi hamjui hata kuandika pediatric , semester na mnajiita madactar

Then watoto wetu watakufa Sana

You are not a medical student, and if you are - you should be discontinued
 
Huu uzi wako ungeupeleka kule kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
 
So young doctor who told you it's very difficult to fail clinical exam?
 
Ilinikuta hii na kibaya zaidi nilirudia the whole semester kwa ajili ya somo moja tu ...na to.make the matter worse nilikuwa kwenye nchi ya watu kwa hiyo ilibidi kulipia kukaa tena hostel kwa miezi minne kwa ajili ya somo la Professor mmoja tu ambaye tulipishana Lugha.
Pole sana kiongozi nimejifunza kityu, maana mimi doctor uyo uwa anichukia sana ila sababu nilimpotezea kipindi fulani aniita na sikutokea. Ila uzuri theory awezi nishika maana ushaidi upo ila clinical this time inabidi niombe supervisor mwingin.
 
Stop nonsense excuse, kuna wanafunzi wanasomea udaktari wanajielezea vizuri na kuandika vizuri tu..wanapangilia hoja zao vizuri tu, wewe na hizo xaxa, lkn, mm nadhani kuna shida mahala
OK sawa nitarekebisha
 
Kama medical students wa siku hizi hamjui hata kuandika pediatric , semester na mnajiita madactar

Then watoto wetu watakufa Sana

You are not a medical student, and I'd you are - you should be discontinued
Aya Timing but remember Time heals all wounds
 
Haiwezekani wewe ukawa na akili, kwa uandishi huu wewe ni mjinga ndugu.
Umepita advance au ulimaliza tu olevel ukaenda CO?
Mi genius wa mirembe tena niliyefel mitihani wa uchizi, kote uko nimepita joh so may be kutokana errors ya kutokupangia maneno but hope umenipata
 
Stop nonsense excuse, kuna wanafunzi wanasomea udaktari wanajielezea vizuri na kuandika vizuri tu..wanapangilia hoja zao vizuri tu, wewe na hizo xaxa, lkn, mm nadhani kuna shida mahala
Not nonsense but Kuna kityu ambacho people uwa wajagundua about Medical people most uwa si waandishi wazuri but not all so am sorry for miss taken
 
Wewe kajifunze kuandika vizuri kwanza, nadhani hii ni sababu ya kufeli unaandika ugoro mwingi, paedric ndo kitu gani??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu amegundua dogo mara ajiite Medical mara clinical

Wajuvi mje hapa, yuko sahihi au tunapigwa?
 
Back
Top Bottom