TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kama medical students wa siku hizi hamjui hata kuandika pediatric , semester na mnajiita madactarHabari za mda huu Wana fj.?
mimi mdogo wenu katik ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo!
Nipo chuo kikuu kwa Jina (naomba niifadhi) nasomea udaktari/MD lakini ivi juzi Kati Kuna mambo yalitokea kiukwel nimekuwa mtu wa mawazo sana kwasababu
nimerudia semister chuoni ila tatizo ni kwamba Kuna daktar ambaye kwa kweli alinifelisha kwenye somo La clinical na kunipa 35% makusudi kabisa ila theory nilikuwa na A ya 85% ila sasa kama mnavotambua kwa masomo yetyu ya afya lazima ufaulu kote at least 50% ndo pass marks. ila daktar uyo alinifelisha pasina kujua tatizo. Changamoto kubwa I nakuj kweny kurudia somo moja (paedtric), kwanza sikubahatika kupata mkopo wala sponsorship, wazazi ndo wananipa support na kwa wale mliopitia chuoni nadhan ugumu mnaujua,
kwa Sasa nimebakiza mwaka mmoja nitimu masomo angu kwa kwelii chuoni najituma kwenye kusoma ata Kuna wakati silali ata masomo mengine almost masomo yangu yote Nina A na sijawahi kupata C tangu niingie chuoni kabisa yaan ,
Sasa nimeamua kurudia ivo kwa kuwa mpini kashika yeye na mm makali lazima niumie. Nikijifanya niko juu au Kuja juu nitaumia mm na still na malengo makubwa.
kinachonipa matumaini nikuwa principal wa chuo aliona matokea angu nakuzungumzia swala Hilo nakunipa pole ila kaniahidi kuwa atalisimamia next exam clinical isitokee hivo.,
maana Kuna uwonevu ndani ake maana walijadiliana wenyewe maana clinical exam kufel ni ngumu sana.
Swali langu ni je ww ulishawahi kukutana na changamoto kama hii na nini mwisho wake ilikuwa je ?
Samahanini lakini kwa uwandishi mpovu, mtanisamehe kwa hilo
niwatakie ujenzi mwema ktk Taifa.
Then watoto wetu watakufa Sana
You are not a medical student, and if you are - you should be discontinued