Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao miezi 3 akusanye pesa ya harusi aoe then wewe firauni haujapitia process zozote alafu akutane na sms kuwa umetoka kumf**a mke wake. Ujue hata kama hauna asili ya kuuwa lazima itatokea tu. Mimi unless mwanamke atumie sijui uongo gani ila nikishajua ni mke wa mtu hata kama mumewe yuko sayari ya PLUTO si mgusi. Women are very careless in cheating, wanapenda kubakisha kumbukumbu and once they become emotional ni basi umekwisha.

Nataka kuanzisha kampeni

KATAA MKE WA MTU!!!!!!
#KATAA MKE WA MTU
#HESHIMU NDOA ZA WATU
 
Hakuna wanawake ninaowachukia kama hao walioolewa halafu wanagawa, ni zaidi ya mbwa

Nimeishawakataa 4 na sina mda nao kabisa wanasema what goes around comes around

Siwezi kuwa msaliti hata siku moja
Vijana ogopeni sana dhambi na kama hamuamini Mungu, basi msiwape ushirikiano wake za watu hawafai
Kama wanasaliti ndoa zao huoni na wewe utakuja kuchapiwa pia?
Je utajisikiaje?
Unaweza ukawa huwapi ushirikiano na kuwakataa wake za watu na bado ukaishiwa kuchapiwa. Hio imekaaje mkuu?
 
Kuna jamaa kasema anaona kinyaa kutembea na mke wa mtu ndo nilitaka kufahamu kama akinunua malaya haoni kinyaa.
Ila inauma sana kugundua mtu unayempenda anampenda mwingine.
Mtu unayempenda anafurahi kuwa na mwingine.
Mtu unayempenda anafanya mapenzi na mwingine au kafanya na mwingine.

Mi huwa nina mtindo wa kulipiza na furaha huja baada ya huyo mtu kupoteza uwezo wa kufanya alichofanya....
 
Unaweza ukawa huwapi ushirikiano na kuwakataa wake za watu na bado ukaishiwa kuchapiwa. Hio imekaaje mkuu?
Suala sio kuchapiwa maana hao wanaopigwa wamekubali wenyewe kuwa hivyo hawakulazimishwa bali ni umalaya wao tu

Kama mwanamke ana hofu ya Mungu (anaeamini) na anajiheshimu, kujizuia na matamanio kwa mwanaume mwingine linawezekana sana

Sio kwa mke tu hata mimi mwanaume sichepuki kwa sababu naridhika na nilichonacho
Nikitamani naruhusiwa wanne kuoa
 
Nilienda kijiji kkimoja kilwa kununua ufuta mwaka jana sasa nikawa nimepanga chumba na ukumbi ila mzee mwenye nyumba ana wanawake wawili mmoja anakaa pale nilipopanga na mwingine anakaa kijiji kingine sasa huyo mama kiumri ni kama miaka 55 hivi halafu hajazaa maisha yake yote halafu anaonekana mbichi sana yaani,basi nikienda mjini nambebea zawadi akawa anafurahi na pale hom huduma zote ziĺikuwa chini yangu siku moja tunapiga stori akawa ananishangaa kuwa hajawahi kuona hata siku moja naleta demu ndani na hajasikia kashfa mtaani kama walivyo wanunuaji ufuta wengine nikamwambia nikweli navumilia tu japo nina ugwadu balaa akaniuliza kweli? Nikamjibu ndio.... stori isiwe ndefu yule mzee akitoka kwenda kwa mke mwingine mimi nalala na mkewe huku nyuma kiukweli nilimfaidi sana yule mama ila majirani wambeya balaa sijui walijuaje kama namla
Walijua baada ya kuwa wanasikia miguno.
 
Ila inauma sana kugundua mtu unayempenda anampenda mwingine.
Mtu unayempenda anafurahi kuwa na mwingine.
Mtu unayempenda anafanya mapenzi na mwingine au kafanya na mwingine.

Mi huwa nina mtindo wa kulipiza na furaha huja baada ya huyo mtu kupoteza uwezo wa kufanya alichofanya....
Ni kweli inauma. Na inauma zaidi kama wewe hufanyi.
Na kulipiza kiasi ndo dawa pekee.
 
Katika kufungua biblia nikakutana na mstari unasema
"Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya,
Lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote"
Hiyo ni methali 6:26
Wakati huo mimi na mke wa mtu tupo katika point of no return
Kingine ni kukutana na huu uzi unaohusu masuala haya ya wake za watu
Sasa sijui nini kiko mbele yangu

Huyu mwanamke ni classic na huyo faza yani mumewe ana pesa kwelikweli ni bosi na yuko serious sana hana masihara na mtu wala mazoea
Kuiacha hii mbususu ni ngumu japo matokeo kama ikijulikana ni mabaya sana kwangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230505-115334.jpg
Haya mambo haya
 
Ila inauma sana kugundua mtu unayempenda anampenda mwingine.
Mtu unayempenda anafurahi kuwa na mwingine.
Mtu unayempenda anafanya mapenzi na mwingine au kafanya na mwingine.

Mi huwa nina mtindo wa kulipiza na furaha huja baada ya huyo mtu kupoteza uwezo wa kufanya alichofanya....
Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na mwanaume
 
Back
Top Bottom