Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

#KATAA MKE WA MTU
#HESHIMU NDOA ZA WATU
 
Unaweza ukawa huwapi ushirikiano na kuwakataa wake za watu na bado ukaishiwa kuchapiwa. Hio imekaaje mkuu?
 
Kuna jamaa kasema anaona kinyaa kutembea na mke wa mtu ndo nilitaka kufahamu kama akinunua malaya haoni kinyaa.
Ila inauma sana kugundua mtu unayempenda anampenda mwingine.
Mtu unayempenda anafurahi kuwa na mwingine.
Mtu unayempenda anafanya mapenzi na mwingine au kafanya na mwingine.


Mi huwa nina mtindo wa kulipiza na furaha huja baada ya huyo mtu kupoteza uwezo wa kufanya alichofanya....
 
Unaweza ukawa huwapi ushirikiano na kuwakataa wake za watu na bado ukaishiwa kuchapiwa. Hio imekaaje mkuu?
Suala sio kuchapiwa maana hao wanaopigwa wamekubali wenyewe kuwa hivyo hawakulazimishwa bali ni umalaya wao tu

Kama mwanamke ana hofu ya Mungu (anaeamini) na anajiheshimu, kujizuia na matamanio kwa mwanaume mwingine linawezekana sana

Sio kwa mke tu hata mimi mwanaume sichepuki kwa sababu naridhika na nilichonacho
Nikitamani naruhusiwa wanne kuoa
 
Walijua baada ya kuwa wanasikia miguno.
 
Ni kweli inauma. Na inauma zaidi kama wewe hufanyi.
Na kulipiza kiasi ndo dawa pekee.
 
Katika kufungua biblia nikakutana na mstari unasema
"Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya,
Lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote"
Hiyo ni methali 6:26
Wakati huo mimi na mke wa mtu tupo katika point of no return
Kingine ni kukutana na huu uzi unaohusu masuala haya ya wake za watu
Sasa sijui nini kiko mbele yangu

Huyu mwanamke ni classic na huyo faza yani mumewe ana pesa kwelikweli ni bosi na yuko serious sana hana masihara na mtu wala mazoea
Kuiacha hii mbususu ni ngumu japo matokeo kama ikijulikana ni mabaya sana kwangu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…