Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Mimi nlitembeaga na mke wa mwanajeshi.....mtoto mtam yule
Sasa siku moja mmewe na rafiki zake wakatufuma wakaniambia nichague KUFA AU KUBAKWA....NIKACHAGUA KUFA....WAKANIUA!!!
...wake za watu watamu....Ila siku ukikutwa mtamu unakuwa were..
Wafu
Wapo akhera au peponi
Kwakua wewe upo humu JF
Ni wazi utakua ulibakwa.....
Very sorry for your loss...
 
Hivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa[emoji848]
Nyinyi mlio single wahuni saana. Wake za watu wametuliaaaaaa saaaana
 
I love this..
Hapo mwisho imeongea ukweli, ...tuko so emotional....
 
kipindi nipo mdogo tunakaa nyumba za kupanga kwa mara ya kwanza nashuhudia jamaa akimfumania mkewe na bahati mbaya mwanaume aliyekuwa naye alifanikiwa kukimbia mke alibaki aisee yule mume mtu alimtoa mkewe chumbani mpaka kwenye korido akamkamata shingo na kumchinja pale pale sitasahau lile tukio mpaka nakufa.. yaani toka wakati huo sikuwahi kumtongoza mwanamke wa wawatu hata unishikie bastola sitajihusisha naye.. ni tukio baya nililowahi kulishuhudia kwa macho yangu ... kijana/vijana acheni hiyo michezo kabisaaa.
 
Haya mambo yapo sana.
Niliwahi kuruka viunzi vitatu wake za watu wakitaka tuingie kwenye uhusiano ili kulipa kisasi kwa waume zao.

Nilishinda hizo.
Sasa kuna mwingine ni full usumbufu kutaka nimle na roho yangu imegoma
Hongera....
Ila Mungu atusaidie sana wanawake..
Mwanaume akiwa Hana hela shida, akiwa ana Hela napo shida...sijui tunataka nn....
Kweli tumetofautiana aisee....sijui watu wengine hawana wivu?! unamvulia mwanaume mwingine chupi kabisaaa na umeolewa?!!!
🙌🙌,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…