Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

fact👍
 
fact 👍👍
 
Kumbe ndiyo mambo ya kanisani hayo?

Ni vyema umesasambuwa.
 
Nikikumbuka Fumanizi Morogoro Ifakara nabaki nacheka sana ilikuwa kama movie kumbe ndio uhalisia. Kilichoniokoa ni kuwa mwenye nyumba na mzee wangu walikuwa marafiki.

Kila nikikumbuka lile tukio kimsingi nilizingua bigtime ni tukio la aibu mwishoni wa mwaka 2022 mtaa mzima ulijaa mlangoni.

Baada ya Fumanizi yule bibie aliachika akarudi kwao tuliendelea kuwasiliana tukisimuliana yaliyotokea siku ya fumanizi jinsi alivyochezea kichapo na mimi nikimsimulia jinsi nilivyoweza kutoroka usiku wa manane kwenye ule mji.
 
Matero karibu na lodge ya NSHIMBI YANGA hapo mitaa yangu miaka ya nyuma kidogo ,jiraani kabisa na MATERO BOYS (wazambia wanaita MABOYS)

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa ka mie yani kama demu nikishajua bwana ake nakaa nae mbali kbs hata ka sio mumewe mke wa mtu ndio kabisa siwekagi namba zao....


Kutembea na mje wa mtu kwa kweli sio ujanja...
Uko sahihi mkuu,mimi hata awe ameachana na huyo mtu wake na namjua kabisa,basi siwezi kabisa hata kumsogelea.
 
Now nipo Rondo mbingu naendelea kukutafuta nikunyooshe
 
We jamaa akili nyingi, Allah akupe maisha marefu
 
Mrejesho
 
huyo mke utakayemuoa naye atakua anaelezea hivi anavyoliwa nje,kwakuwa wewe utakuwa hutoi huduma vizuri
 
Mimi kiukweli nina kinyaa kikali sana siwezi gonga mke wa mtu naona ni uchafu tu
Ungejua mke wa mtu ni salama kuliko demu huru wa mtaani.
Kwa sababu unakuwa unajua nachomeka mimi na mume wake.

Ila hawa wa mtaani unakuta anatoa hadi kwa watu watatu kwa siku, wote mnaloweka sehemu moja.

MKE WA MTU NI SUMU
 
Mbona mke wa mtu anachukuliwa kama mtoto mdogo likija suala la mapenzi? Kwani yeye hana matamanio na yeye hawezi kuwa sababu ya kutaka kugongwa?

Na wao ni wapambanaji.

Wapo aggressive sana tu.

Kumbuka tu wake ndo hao hao mliokuwa nao mashuleni na vyuoni, tabia hazibadiliki sana, zinajificha kwa muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…