WANAUME TUMEUMBWA KUA VIONGOZI UKITONGOZWA NA MKE WA MTU JUA UYO MWANAMKE NI ANAONGOZWA NA HISIA HAJUI ALITENDALO(Amini) INAWEZA KUA HASIRA(KULIPIZA), AMA MAPENZI TU!
Mwanamke anaweza kukukalibisha kwa mume wake akakuwekea na chakula kabisa alafu mkifumaniwa mwanamke unaweza shangaa ananza kulia anakumbia “sasa tunafanyaje mumewangu ananiua leo, we umeniletea matatzo” sio ajabu ukiona ananza kukulaumu tena wewe wakati ye ndo kakuita kwaiyo kua makini mke wa mtu anapokutaka usijione mwamba sana.
………….
Kumfumania mtu kunahitaji maandalizi kisaikologia, fuatilia mafumanizi yote yanayohusisha viongozi wa dini na viongozi wa mtaa hua hayana shida sababu ya muhusika alikua keshajiandaa kisaikologia kufumania na ameshaujua ukweli ila ikiwa hakua na mpango wakufania na imetokea tu umeambiwa ghafla au umegundua tu mwenyewe tena kwenye hali ya kutokujua kama kweli au si kweli uyu mtu akifika kwenye tukio maranyingi lazima afanye jambo la ajabu,
kwanza mtu anakua hajajiandaa kuupokea ukweli, pili kila mtu ana namna yake ya kureact kwenye issue kama izo, wapo wanao ishia kuzimia(presha), wapo wanatao ishia kutukana matusi ovyo kulaumu na kulia, wapo watao ishia kupiga tuu ila kuna wengine ndo hao huishia kuua au kujiua au vyote.
Hao ni wale walioamini wenzawao kua ndo kilakitu kwenye maisha yao wakawekeza MUDA MWINGI, PESA NYINGI , IMANI KUBWA kwa wenza wao kwa kuamini malipo yatakua ni upendo pekee so linapokuja swala la mahusiano yao kuvunjika jua kwamba haumii et kisa umemgongea mke wake pekee au mume no!! Anaumia sababu pia umehalibu maisha yake KWA UJUMLA na uwekezaji wake wote umepotea sababu yako au yenu.
Chamsingi chunga sana unapolala na mke wa mtu maana ukimwona amependeza au anajileta kwako bila kutaka taraka kwa mumewe kwanza ujue kuna vitu vinawaonganisha na hajawa tiyari kumwacha mumewe yan huo ni mtego unaweza jiona kidume kumbe unalala na kifo chako au kilema chako.
Goodbye.