antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh🥱Tangu nishuudie mauaji ya kikatili ya jirani yangu, chanzo kikiwa ni wake za watu..
Jamaa alinyongwa,akatolewa macho,akakatwa ulimi kisha akatupwa kwenye kisima cha maji..mtu anaeitwa mke wa mtu hata awe na shepu ya aina gani nakaa nae mbali mita 100
Mke wa mtu ni zaidi ya hatari
Ila huyo mzinzi alistahili hiyo adhabu. Wanawake single wamejaa tele, ni wengi kuliko walio olewa, unahangaika na mke wa mtu ili iweje. Hata uhuru wa kujinafasi naye hakuna. Ujinga mtupu!
To me, mke wa mtu ni NO, Labda anidanganye kuwa ni single