Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Kuna jamàa aliingiziwa vitu sehemu za haja kubwa sababu katembea na mke wa mtu huko Kawe akakatwa na masikio, wajamaa wakaja humu kufungua kesi wanaanza kumtetea eti kwamba kaonewa hajatendewa haki, hivi unaenda kulala na mke wa mtu nyumbani kwa nyumba aliyoijenga Mwanaume mwenzio anakufuma unategemea nini km sio kifo au kufanywa vitendo vya ajabu ?
Ni risk sana huwa nashangaa hizo guts za kutoka na mke wa mtu unapataje, naona kila ukiwa naye utakua unahisi kama mume wake anakuona hivi, in short hautokua huru unaishi kwa machale. Mke na mume wa mtu ni sumu ibaki hivo.
 
Mbaya sana mke wa mtu mume wa mtu muache aendelee na mtu wake usiingilie kabisa, yakikukuta tunakusahau
 
Utakuta yupo kwa mumewe usiku anachat na ww sms za mapenzi
Unaanzaje kuchat na mke wa mtu usiku ndo maana nikasema mwanamume anapaswa kutumia akili badala ya hisia

Wajuba wengine huenda mbali zaidi hawawasiliani na wake za watu kwa meseji hata siku moja ni mwendo wa kupiga tena ule muda unajua mumewe hayupo au mwanamke yuko kazini
 
Mwanamke akianza kuliwa nje lazima atagundulika. Wewe utajidai humtafuti usiku ajabu yeye ndio akawa anakutafuta. Utadakwa tu labda mumewe aamue kupotezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni risk sana huwa nashangaa hizo guts za kutoka na mke wa mtu unapataje, naona kila ukiwa naye utakua unahisi kama mume wake anakuona hivi, in short hautokua huru unaishi kwa machale. Mke na mume wa mtu ni sumu ibaki hivo.
Siku hizi jambo la kawaida mabinti wanatoka na waume za watu na vidume wengi wanatoka na wake za watu sio maeneo ya kazi, biashara, mitaani hata nyumba za ibada. Acheni uoga imeshakuwa sehemu ya maisha
 
Ni risk sana huwa nashangaa hizo guts za kutoka na mke wa mtu unapataje, naona kila ukiwa naye utakua unahisi kama mume wake anakuona hivi, in short hautokua huru unaishi kwa machale. Mke na mume wa mtu ni sumu ibaki hivo.
Kuna time huwa hamsemi kama ni wake za watu mimi kuna mtu nimejua juz kuwa ni mke wa mtu nimefumua sana jamaake alikuwa south kusoma karudi ndio anasema ye mke wa mtu
 
Back
Top Bottom