Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Wewe unaumia sababu una gharamia mkeo sasa nikuulize kwa nini ukale mke wa mwenzako kwamba yeye haumii au? Huyo mwanamke unavyolala nae unafikiri unatengeneza kitu gan hapo baadae ? Nyie ni waharibifu.Wanaume tunaumia kwa sababu ndio tunagharamia kumtunza. Siku hizi kugongewa hakuepukiki cha muhimu nisijue
Sent using Jamii Forums mobile app