antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh🥱Tangu nishuudie mauaji ya kikatili ya jirani yangu, chanzo kikiwa ni wake za watu..
Jamaa alinyongwa,akatolewa macho,akakatwa ulimi kisha akatupwa kwenye kisima cha maji..mtu anaeitwa mke wa mtu hata awe na shepu ya aina gani nakaa nae mbali mita 100
Mke wa mtu ni zaidi ya hatari
Moja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!Wa kudili nae ni mkeo anaegawa utamu nje na anajijua ni mke wa mtu. Utadhuru wangapi? Wee malizana na mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi utakula hela za mumewe. Hawanaga gharama kwa sababu mume wake wa kumtunza yupo wewe ni kula mbususu tuMke wa mtu akikuelewa hana Gharama unajilia mbususu kizembe sana bila hata nguvu ya buku.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mnapata ujasiri wa kumvua chupi mke wa mtu ila hamna ujasiri wa kumvua madaraka mwenyekiti wa CCM?
Huu ujinga utawatesa na kuwafanya watumwa ktk nchi yenu milele.
Kutembea na kulala na mke wa mtu unakua unajijengea urafiki na ukaribu na malaika wa kifo bila kujua kua unajichimbia kaburi lako mwenye ni aidha akuue, amuue mke na wewe au akuue, amuue mke na yeye ajiue, ni murder case wajinga wanaita WIVU WA KIMAPENZIMoja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!
Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.
Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo
Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.
Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Ila kufa pia kupo utapigwa km sio mapanga Basi za kichwa na yeye gunia la mkaa linamuhusu usichezee mke wa mtu kabisaZaidi utakula hela za mumewe. Hawanaga gharama kwa sababu mume wake wa kumtunza yupo wewe ni kula mbususu tu
Usiweke kambi kwa mke wa mtu, hakikisha unatumia akili kuliko hisia, mwanamume yacontrol mahusiano yenu ya siriMoja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!
Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.
Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo
Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.
Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Wake za watu watamu sana wanatupea yote, sio wasumbufu, wasafi, hakuna vizinga, wako mature enough. Huwezi kumchunga mume au mke lazima aliwe au achepuke tuHivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa🤔
Wacha wauliwe tu mana wanajikuta wajanja. Wanawake singo wapo kibao mtu anakuambia eti mke wa mtu hana gharama. Ajabu mwanaume huyo huyo akiskia wajuba wanammendea mkewe anavimbaaa sielewagi ni akili za wapi. Wacha waendelee kuuliwa, kuliwa kiboga mpaka akili ziwakae sawaMoja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!
Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.
Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo
Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.
Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Haa wewe mtengeneze huyo wako awe mtamu na hizo tabia pia, katengenezwa na mwanaume mwenzio hadi unamuona mtamu siku ukifumwa akikudunda, hatutoita ukatili shauri yako.Wake za watu watamu sana wanatupea yote, sio wasumbufu, wasafi, hakuna vizinga, wako mature enough. Kufumaniwa ni uzembe
Wanaume tunaumia kwa sababu ndio tunagharamia kumtunza. Siku hizi kugongewa hakuepukiki cha muhimu nisijuewajuba wanammendea mkewe anavimbaaa sielewagi ni akili za wapi
😂
Vipi Baada ya Majirani Kujua, Biashara ya kukusanya Ufuta uliendelea nayo huko??Nilienda kijiji kkimoja kilwa kununua ufuta mwaka jana sasa nikawa nimepanga chumba na ukumbi ila mzee mwenye nyumba ana wanawake wawili mmoja anakaa pale nilipopanga na mwingine anakaa kijiji kingine sasa huyo mama kiumri ni kama miaka 55 hivi halafu hajazaa maisha yake yote halafu anaonekana mbichi sana yaani,basi nikienda mjini nambebea zawadi akawa anafurahi na pale hom huduma zote ziĺikuwa chini yangu siku moja tunapiga stori akawa ananishangaa kuwa hajawahi kuona hata siku moja naleta demu ndani na hajasikia kashfa mtaani kama walivyo wanunuaji ufuta wengine nikamwambia nikweli navumilia tu japo nina ugwadu balaa akaniuliza kweli? Nikamjibu ndio.... stori isiwe ndefu yule mzee akitoka kwenda kwa mke mwingine mimi nalala na mkewe huku nyuma kiukweli nilimfaidi sana yule mama ila majirani wambeya balaa sijui walijuaje kama namla
Tunaokula wake za watu tuna watu wetu tunawatunza ila si mnatujua wanaume hatuwezi kutulia na mbususu moja. Hasa kama za wake za watu zinakupunguzia gharama na shoo uhakika.Haa wewe mtengeneze huyo wako awe mtamu na hizo tabia pia, katengenezwa na mwanaume mwenzio hadi unamuona mtamu siku ukifumwa akikudunda, hatutoita ukatili shauri yako.