Wewe unaumia sababu una gharamia mkeo sasa nikuulize kwa nini ukale mke wa mwenzako kwamba yeye haumii au? Huyo mwanamke unavyolala nae unafikiri unatengeneza kitu gan hapo baadae ? Nyie ni waharibifu.Wanaume tunaumia kwa sababu ndio tunagharamia kumtunza. Siku hizi kugongewa hakuepukiki cha muhimu nisijue
Ok na hao watu wenu wakitoka na watu wao wengine, utajisikiaje? Maana malipo ni hapa hapa duniani ujueTunaokula wake za watu tuna watu wetu tunawatunza ila si mnatujua wanaume hatuwezi kutulia na mbususu moja. Hasa kama za wake za watu zinakupunguzia gharama na shoo uhakika.
Akijua ataumia ndo maana kwenye kumla mke wa mtu inatakiwa iwe siri nzito na usiweke kambi au mazoea akawa kama demu wakoWewe unaumia sababu una gharamia mkeo sasa nikuulize kwa nini ukale mke wa mwenzako kwamba yeye haumii au
Niliendelea tu mpaka msimu ulivyoisha kuna kitu kikinipa nguvu kidogo ni kwamba ile nyumba mzee sio yakwake ni ya yule mke ndio maana sikuogopa sana yule mama alikuwa ananiambia hakuna chakutufanya yule mzee,halafu pia kule umwerani wanatuogopa mno wamakonde na wiki 2 zijazo naenda tena msimu umeanza na nitafikia nyumba ile ileVipi Baada ya Majirani Kujua, Biashara ya kukusanya Ufuta uliendelea nayo huko??
Ni kweli mke wa mtu kuna wakati unamnogesha mpaka unaona anahamisha upendo kwako na kuanza kumsema vibaya mume wake hapo kidume usijisifu ujue muda wa kufumaniwa unakaribia wanawake huwa wanaongozwa na hisia sana cha kufanya mpotezeeHuyo mwanamke unavyolala nae unafikiri unatengeneza kitu gan hapo baadae ?
Mwanamke akiwa anagongwa nje ni easy kumjua tu hata afanyeje , kwanza huwa hawawezi kuficha mahusiano yao ya siri.Usiweke kambi kwa mke wa mtu, hakikisha unatumia akili kuliko hisia, mwanamume yacontrol mahusiano yenu ya siri
Kuna jamàa aliingiziwa vitu sehemu za haja kubwa sababu katembea na mke wa mtu huko Kawe akakatwa na masikio, wajamaa wakaja humu kufungua kesi wanaanza kumtetea eti kwamba kaonewa hajatendewa haki, hivi unaenda kulala na mke wa mtu nyumbani kwa nyumba aliyoijenga Mwanaume mwenzio anakufuma unategemea nini km sio kifo au kufanywa vitendo vya ajabu ?Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa
[emoji23][emoji23] Wewe endelea, eti siri. Kuna mwenzako wamenyuka nyundo za kiuno kunakompa jeuri wamekata umeme. Bado wewe.Akijua ataumia ndo maana kwenye kumla mke wa mtu inatakiwa iwe siri nzito na usiweke kambi au mazoea akawa kama demu wako
Mimi mtu wangu akiliwa sina tabu naye na najua analiwa sema tu ndo sina ushahidi cha muhimu apigwe shoo huko nisijueOk na hao watu wenu wakitoka na watu wao wengine, utajisikiaje? Maana malipo ni hapa hapa duniani ujue
Usisahau hapo kwenye kukaribia kufumaniwa ndio kwenye kukaribia kufa,Ni kweli mke wa mtu kuna wakati unamnogesha mpaka unaona anahamisha upendo kwako na kuanza kumsema vibaya mume wake hapo kidume usijisifu ujue muda wa kufumaniwa unakaribia wanawake huwa wanaongozwa na hisia sana cha kufanya mpotezee
Wake zenu wenyewe hawasemag kama wameolewa unamtomba ndio unakuja kujua ni mke wa mtu, unampigaje mtu wakati chupi kavua mke wako? Wewe na mkeo ndio mna matatizo sio huyo unaetaka kumtia kilemaMimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu
Mwanamke akiwa anagongwa nje ni easy kumjua tu hata afanyeje , kwanza huwa hawawezi kuficha mahusiano yao ya siri.
Utakuta yupo kwa mumewe usiku anachat na ww sms za mapenzi, au ukute kakusevu jina la kinahaba kwenye simu yake, bado utakuta anamdharau mume wake kila siku.
Sasa usiombe mumewe siku ashike simu yake halafu akute call history imejaa namba yako au akute sms zako hazijafutwa kwenye simu ya mkewe...!!
Ukitembea na mke wa mtu ni vema ukatembea na kikopo cha vasellin kabisa
Hao watakuwa wanajifunza kula wake za watu hizi mambo zinataka uzoefu[emoji23][emoji23] Wewe endelea, eti siri. Kuna mwenzako wamenyuka nyundo za kiuno kunakompa jeuri wamekata umeme. Bado wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una Ujasiri sana. Hongera.Niliendelea tu mpaka msimu ulivyoisha kuna kitu kikinipa nguvu kidogo ni kwamba ile nyumba mzee sio yakwake ni ya yule mke ndio maana sikuogopa sana yule mama alikuwa ananiambia hakuna chakutufanya yule mzee,halafu pia kule umwerani wanatuogopa mno wamakonde na wiki 2 zijazo naenda tena msimu umeanza na nitafikia nyumba ile ile
We unasema nyundo mtu kapigwa mapanga hadi amekufa usicheze kabisa na mke wa mtu utakufa vibaya, kucheza na mke wa mtu ni kucheza na kifo[emoji23][emoji23] Wewe endelea, eti siri. Kuna mwenzako wamenyuka nyundo za kiuno kunakompa jeuri wamekata umeme. Bado wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app