Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Kulia Kama mtoto yaan nimeshuhudia rafiki yangu KAPATA taarifa kua mkewe ana chepukaa
Jamaa KAPATA mshituko kabisa kuchapiwa kusikie TU.

Kwa jinsi mshikaji alivyo umia BINAFSI siwezi abadani kushawishi ama kutaka kuchepusha mke wa mtu abadani
 
Kwa mwanaume au mwanamke mwenye akili timamu hawezi kabisa kutembea na mke au mme wa mtu kwa maana madhara unayoyapeleka kwenye familia ya mwenzio NI makubwa kuanzia ngazi ya kimahusiano, kiakili, afya ya mwili, malezi ya watoto pamoja na kipato cha familia vyote hivi vitabomoka sababu yako wewe kwa tamaa zako za kipumbavu umeenda kuharibu familia ya mwenzako, kumbuka kupanga ni kuchagua ila malipo lazima unatayalipa tu kama sio wewe basi kizazi chako.
 
Sasa hebu nikupe kisa niliwahi kwenda kijiji kimoja wanaita Makangaga nilienda kununua kunde na karanga nilipofika hapo kijijini nilinunua mzigo mkubwa sana na hapo niliwachapa mademu 5 na hao wote hakuna hata niliekamtongoza ni wao waliokijileta akiwemo na mwalimu wa shule ya msingi nae nilimla mno binti wa kihaya yule....
Duuh
 
Na wanaune mnao wekwa profile mnajionaga mnapeeeendwa wenyewe, unawekwa wewe na mtito wenu au wote watatu.
Ndugu hilo ni pumbazo, huyo mkeo analiwa na danganya toto za kwamba hukauki profile kwake
 
Unachat nae ujinga na anakutumia picha za uchi ila pale whatsapp kwake kawekwa picha ya jamaa na caption za kopa kopa. Wanawake sio kiumbe cha kujivunia nina mke ndani
Kabisa mkuu
 
Siku ikikukuta hii utakuwa ushachelewa sana.

Kijana magazine mzima imeishia kifuani kwake.
 
Back
Top Bottom