Ulishawahi kutoka kimapenzi na rafiki wa mpenzi wako?

Mwaka 2015 nina rafiki yangu mkubwa tulisoma wote tangu primary hadi kidato cha nne aliniomba nimsindikize akaonane na demu wake maana ilikua hajawahi onana zaidi ya simuni(huyo demu alikosea namba) basi tukaenda mitaa ya tabata segerea kwa bahati na yule demu naye alikuja na best yake ikawa mzuka tulikaa pale fantasy tukapiga stori mpaka saa 2 usiku tukawasindikiza hadi kwao tabata bima baada ya hapo nikabadilishana namba na yule best wa shemeji yangu

Siku moja jamaa akanicheki kuwa demu wake anakuja kwa ajili ya kumgegeda basi jamaa akakutana nae Rang 3 ajabu yule akaja tena na yule best yake ikabidi mchizi anipigie simu niende nikaenda tukawachukua mpaka lodge kila mtu room yake(kumbuka sijawahi mtongoza) tulipofika ndani yule dem akanipa mikwara nisithubutu kumgusa nikamwambia sawa kweli sikuwa na time nae maana alikua mwembamba sana afu ana nyodo flani hivi nikaachane nae basi muda ulipofika jamaa akanishtua tukasepa tukawapeleka kituoni wakasepa

Walipoondoka jamaa akaniuliza kama nimegegeda nikamwambia hapana nikamuuliza na yeye akasema kwa hasira demu anavuja...baada ya muda kidogo yule demu akaleta mazoea sana mwishoni yeye mwenyewe akaleta shobo siku akaja gheto nikamla kiulaini sana lakini sikuwahi mpenda baada ya mda tukaachana

Jamaa naye walizinguana na demu wake maana alisafiri bil taarifa...maisha yakaendelea mwaka 2017 nikakutana na yule shemeji yangu mitaa ya k/koo tukabadilishana namba mawasiliano yakazidi utani mwingi ikabidi nimwambie jamaa,mchizi bila hiyana akatoa go ahead basi nikatupia ndoano ikanasa akaja nikagegeda japo anajua nishawahi gonga best yake lakini hakuwahi kumwambia kuwa nami nimekula .

2017 mchizi wangu huyo huyo alikutana na demu kwenye daladala asee yule manzi mkali balaa basi jamaa alikua anakuja job kwangu akamkovisi yule dada washuke wote basi akakubali wakaja mpaka eneo langu la kazi nikawakaribisha kwa furaha tu sasa mi nilikua nadhani jamaa ni demu wake mda tu na kweli jamaa akanitambulisha kuwa yule ni manzi yake na demu alikaa tu kimya

Baada ya muda jamaa aligonga akasafiri,demu akaanza kumsumbua mchizi ampe namba zangu mchizi aligoma maana binafsi nilikataa asitoe namba kwa demu asiye na malengo nae...yule demu baada kuona jamaa anazingua siku moja akaja ofisini lakini kwa bahati mbaya hakunikuta ikabidi nipigiwr simu nikamwambia mimi nipo nyumbani siko sawa basi akasema nimuelekeze aje anione, kweli nikamuelekeza akaja stori kibao nikagundua yule manzi ananitaka kweli baada ya siku kadhaa alinitongoza yeye mwenyewe nikamwambia mchizi jamaa akatoa go ahead salale kumbe ilikua pona ya mshikaji

Siku ya tukio demu akaja kitaa lakini kwa bahati mbaya akajitokeza mgeni ikabidi niende nae lodge dah kufika eneo la tukio hatujaanza majambozi manzi akanambia una virusi nikashtuka sikuamini akanipa kadi ya CTC dah wazee UKIMWI huu dah demu alivyobomba roho iliniuma sana hata hamu ya kugegeda iliniisha nikaaga na kuondoka

Baada ya siku kama mbili nikamtafuta nikamshukuru kwa ukweli wake nikamuuliza ilikuaje akafanya na mchizi akasema jamaa alifisi gemu lakini uzuri alitumia kinga ila kwangu ameniambia kwa sababu ananipenda kwa dhati na sio tamaa ...tuishie hapo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mkuu hio noma sana, Sema nini ungetoka lodge chap ukafata helmet ukarudia kutindua kiporo chako
 
Hahahaha mkuu hio noma sana, Sema nini utoke lodge chap ukavata helmet ukarudi kutindua kiporo chako
Mzee Nguvu ziliisha kwa ile siku ila baada ya muda kupita nilimuona yule manzi jinsi alivyokuwa hana raha na jinsi alivyokuwa na mapenzi ya kweli ikabidi nifate njia za kujikinga nilimla asee ni fundi balaa ila siku enjoy maana nilifanya kwa presha na kwa mara ya kwanza ilibidi nitumie dawa za kusisimua ili nimmudu maana nilikua stimu sina nilifanya kama shukrani kwa wema wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa na demu angu fulani anasoma chuo cha nursing nilichokuwa nafanya ni kumuambia Jumapili mana wanakaa huko huko hospital kuwa aje na marafiki zake wakutosha hata watano au zaidi nimewaandalia msosi wakija nini fresh watashinda story kibao mimi nawapisha nkirudi jioni nakuja na whisky au Sminorff Double black wanakunywa afu kila mtu nampa namba yangu kwa siri siku io ata manzi angu simli wakimaliza mida ya saa mbili usiku nawapeleka mpaka chuoni kwao mana jumapili hawawekewi limit ya muda, After there atarudi mmoja mmoja mpaka kundi linaisha lote, Nimewahi kula twin mapacha wawili walijuana wakazinguana sana bi mkubwa mpaka akanijia juu nae kwa vile ni hawa wa mama wa mjini nikamtafuna nae tena mpaka mtandao pendwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote malaya tu hao (na wewe pia).

 
Duh aisee umeandika ndefu utadhani uzi wako huu!! Ila story nzuriiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…