Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80

Roselyn1 hii kauli tata sana kwangu nimeambulia zero ..sijaelewa kabisa maelezo yako yaliyofatia baada ya hapo
 
Roselyn1 hii kauli tata sana kwangu nimeambulia zero ..sijaelewa kabisa maelezo yako yaliyofatia baada ya hapo
Hujaelewa nini FL1? Anawatahadharisha msiringie sana waume zenu, sababu akipata nafasi ya kuwaona.....
 
Hujaelewa nini FL1? Anawatahadharisha msiringie sana waume zenu, sababu akipata nafasi ya kuwaona.....

full kujiamini ...chako kipende na kiringie bwana usipokiringia wewe ndo huyo Roselyn1 anakwapua na kuanza kukuringishia
 
unaweza kuanzisha mada na wewe kisha ukaweka maswali unayotaka yajibiwe na ntakuja kuyajibu huko kwenye thread yako. kama hujisikii kujibu unaweza pita kimyakimya, sio wewe tena kunitngia mimi cha kuuliza.
Pole sana Carmel, sikujua hauko tayari kukutana na challanges bali unapenda kusikia kile unachokijua. Samahani endelea na porojo zako
 
Naomba twende PM Rosey

Samahani kama nimewakwaza wengine.
 
Marriage Man with boys kuna wife wa mtu alikuwa kama waifu wangu kabla ya kuoa , maana kila mara nilimpata na naamini nilikuwa namchosha saana lakini baadae nikaona si sahihi nikalazimisha kuua uhusiano ingawa ilileta ugomvi mkubwa saana mpaka nikabadilisha namba za simu , cha ajabu siku mmoja nikakutana na Mume wake na kujua ni mshkaji ila alipooa mimi sikujua na alivyoniambia amemuoa nani mpaka leo napiga chenga kumtembelea kwake wakati mwingine wizi mbaya but i had great time with that woman she was Great on Be.......d !!
 
Hedeeeeeeeeeeeeeeee rosylene1 hedeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!......
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kama ukikutana na ex wako ambaye kashaoelewa au kashaoa, mkaamua kukumbushia, hiyo nayo mnaita ku-cheat? I am just thinking aloud.

Una habari kuwa mahawala huwa hawaachani kamwe ndo hiyo kukumbushia muhimu maujuzi.
 
Hivi kuna mtu ambae ha-cheat ktk dunia hii?
Nadhani jibu limepatikana hapo toka kwangu...

Nadhani hapa dhamiri zinatushitaki kutokana na mada hii. Naona mada imegusa tabia ya wengi, ya KUCHEAT. Mimi niwahi kucheat nilipokuwa kijana, ila nimeacha baada ya kugundua kwamaba hainisaidii kitu chochote zaidi ya kunivunja heshima na kumkosea MUNGU wangu.
 

na pia ungeweza kusababisha maafa ndani ya nyumba ,magonjwa au ndoa kuvunjika..well done
 
Xpin umenifurahisha sana yaani we unadhani kila mtu ni mzinzi kama wewe hahahahahahaaaaaaaaaaaa
Ntake radhi kiongozi. Mimi siyo mzinzi. Mimi ni mdumisha mila. Tofautisha hivyo vitu viwili hapo.
 

Tufafanulie kwa kiswazi bana!
 

Du, kweli kuna kila aina ya micharuko huku duniani and may God forbid.
 
Kaka/dada, sasa hizi mada za kingono ngono we unazichangia za nini? ingekuwa vema kama ungeacha kujistress kuingia huku, huku kuwe danger zone kwako, hivyo ningekuelewa. si kuna jukwaa la siasa kule, nenda kapige porojo, au better yet kuna jukwaa la uchumi nenda kajenge uchumi wa familia yao. mbona unaumia sana, tatizo ni nini? unacheat sana nini hadi unaona tunaongea yanayokuumiza roho? kama huipendi hii mada na yoyote nayoanzisha unazifunguaga za nini? na mods wame do the needful, wanaandika kabisa jina la mwanzisha thread, sasa si uwe unazipita tu ili usijikwaze? na ni nani aliyekuweka kiranja hapa ndani unaeamulia watu nini waandike na nini wasiandike? unaweza kuomba kazi kwa invisible uwe mod may be it will give the authority you really crave to have.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…