Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wapi nimeandika kwamba kila siku natafutwa mimi?Ongea na watu , na wewe pia wasaidie sio usaidiwe wewe tu wapigie simu ,salimia sio kila siku utafutwe wewe kwani we nani
Acha majivuno uone kama utaendelea kuita watu wanafiki
Na urafiki wa karibu mwingi huharibikia hapa.Tatizo huanza pale anapoona Ana haki ya kukumiliki[emoji28]
Mi nilikuwa na rafiki wa opposite sex (female) ila Mimi nilizingua urafiki ukafa. Nilikopa sana Mpunga kwake halafu nikawa navunga siku zinaenda , nadhani alihisi nimemgeuza SUGAR MAMMY akakata kamba [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila alikuwa RAFIKI HAKIKA!umetu
Kuna wengine wanakopa hata mara nyingi na hawarudishi.umetuangusha sana wanaume, unakopa kwa dem afu unazingua kumlipa? dah nyie ndo matapeli wa baadaye.
[emoji23]Nasikitika kusemaa siwezii kua na rafiki wa kike asienipa papuchi...marafiki wote wa kike nilionao wananipa
Mimi tunaanza kwanza naa hizo hesabu ndio tukimaliza tunakua marafiki🤣[emoji23]
Nyie ndio huwa mnaua urafiki.
Unamchukulia mtu kirafiki kabisa, sometimes unamchukulia kama kaka.. Kumbe yeye alishapiga hesabu za mbele anataka mambo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]hufaiMimi tunaanza kwanza naa hizo hesabu ndio tukimaliza tunakua marafiki[emoji1787]
Nataka Joanah awe rafiki wa kwanza wa kike ambae nitakua sijamuomba kitu[emoji1787][emoji23]hufai
Marafiki wa aina hii wengi tushapotezana.
Unamuomba mtu akusaidie labda somo fulani linakusumbua,yeye anaanza kuleta mambo yake mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi mtamani, sababu ule ushkaji na ukaribu tuliokuwa nayo nlikuwa namwona Kama Mwanamke mwenzangu sometimes. Nikiskia mrejesho wa mdinyo ilikuwa Ni siku ya kicheko.Duuh na story zote hizo hujawah kumtamani?
Na jamaa hajawahi kuomba tunda
Kuwa na rafiki wa kike so close hivyo ni sawa na kutembelea muwa kama mkongojo lazima utaula tu ...
Kumbe ni wewe brother,hongera[emoji23].Thank you[emoji120]
I also miss you a lot rafiki
[emoji23]Nataka Joanah awe rafiki wa kwanza wa kike ambae nitakua sijamuomba kitu[emoji1787]
Kwa kweli nimewaangushaUmetuangusha sana wanaume, unakopa kwa dem afu unazingua kumlipa? dah nyie ndo matapeli wa baadaye.
[emoji23][emoji23]Naomba na mimi unitupie hints chache PM nimfurahishe wifi yako..please.[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yule Kaka Kama vile alishushwa Toka mbinguni hakuwahi omba tunda, kwanza angeomba nadhani ningepoteza ule Uhuru wa kushare nae Mambo yangu.
Story za mdinyo ilikuwa ananiulizaga vitu gani wanawake wanapenda kufanyiwa in bed ili akampagawishe navyo Dem wake. Halafu akifanya anakuja kunipa mrejesho, urafiki wetu ulifikia kuwa na Uhuru wa dizain hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hao ni mademu zako sio rafiki zako bro.Nasikitika kusemaa siwezii kua na rafiki wa kike asienipa papuchi...marafiki wote wa kike nilionao wananipa
Duuh ndio maana sipendi ukaribu sana na mwanamke kwahyo mnatuona kama wanawake wenzenu [emoji1787][emoji1787] hizi si dharau hiziSikuwahi mtamani, sababu ule ushkaji na ukaribu tuliokuwa nayo nlikuwa namwona Kama Mwanamke mwenzangu sometimes. Nikiskia mrejesho wa mdinyo ilikuwa Ni siku ya kicheko.
Daaa kwa hiyo sina rafiki wa kike aiseeSasa hao ni mademu zako sio rafiki zako bro.
Nawe tupe experience yako EliHii thread bwana!!
Wivu unatukwamisha jirani tehTusiokuwa na marafiki na wala hatukuwahi kuwa nao mje huku nyuma tujadiliane ni wapi tunakwama.