Tulia dogo uokote busara😆Kumbe humu tupo na wazee hivi aisee kama ndo hivyo basi mi najitoa JF
Hii ilikuwa ndo kama Africa's national anthem miaka ile ya 1980's. sadly hakukuwa na video yake.
Aaiiyeeeee Africa.......Franklin Boukaka alinyongwa mwaka 1972; alitoa wimbo huo mwaka 1970 ukampa umaarufu sana na kusababisha apendwe sana na wanamapinduzi wa wakati huo waliochukia wakoloni weupe kuondoka na kupata wakaloni weusi; jambo hilo lililomfanya achukiwe na viongozi wa Congo wakati huo na kusababisha anyongwe.
huo muda ndo mama yangu anaolewa duhKool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c
Ni kweli, Nzinzi wa Kester Emeneya ulitoka nadhani mwaka 1986 au 1987 hivi, na ulitawala sana anga wakati huo.Honestly speaking. Me ni kijana wa 90 mwishoni na ni music enthusiasts. Hizi nyimbo nimezisikiliza sana na nazipenda pia.
Drc hapo
1.King Kester _Nzinzi
2.Mayaula mayoni_Mbongo
Nadhani unaongelea wimbo wa LondonBeat uliotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini: kati ya 90 na 91 hivi. Wimbo huu ulipambana sana pale MTV na wimbo wa bendi nyingine nitauleta baadaye nikiupata.I have been thinking about you