Kuna huu nilikuwa nauchanganya sana majinaNadhani unaongelea wimbo wa LondonBeat uliotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini: kati ya 90 na 91 hivi. Wimbo huu ulipambana sana na wimbo wa bendi nyingine nitauleta baadaye nikiupata.
View: https://www.youtube.com/watch?v=bDwI_cJ7Eds
Wimbo mwingine uliowapa umaarufu sana hawa jamaa ni huu wa Decando Lambada. Ulivuma sana kuanzia mwaka 1993 hadi 1997. Wewe uliusikia kwa mara ya kwanza ukiwa wapi?Kaoma (Loalwa Braz)- Lambada
Huyo mwimbaji Loalwa Braz mwenyewe alifariki 2017; hao watoto wawili walioweka chachu kwenye wimbo huo walichukua maisha ya tofauti kabisa baada ya hapo. Yule mvulana Chico alimua kuwa mchungaji kwenye kanisa la kiprotestant, na yule msichana Roberta akawa mcheza sinema.
View: https://www.youtube.com/watch?v=-hosJTEjYQ4
Hakutokea Burkinafaso.
Nadhani uko sahihi sana ila Muziki huo uliuzwa Afrika kuwa ni kutokea Wagadugu, na hata cover ya Album yake ilionyesha hivyo. Ilikuwa imeandikwa nadhani kitu kama "Ougadougu Hits". Kwa hiyo wote tukaamini kuwa ni wa WagaduguHakutokea Burkinafaso.
Nafikiri jina lake la Badarou liliwachanganya wajanja wa Dar wakita Wagadugu, na ndipo huu mziki kitaa ukawa unaitwa wagadugu.
Mwanamziki ni Mfaransa mwenye asili ya Benin.
Mapenzi na maisha ya Tina Turner ni zaidi ya kisanga alifariki kwa ugonjwa wa ......Tina Turner - Simply the Best
Tina alitamba sana enzi zake. Nilimwona personally mwaka 1997 akiwa na Oprah Winfrey kwenye jambo lao moja pale Houston, TX. Baadaye alibadili uraia kuacha umarekani kuwa mswisi; alifariki mwaka 2023.
View: https://www.youtube.com/watch?v=GC5E8ie2pdM
realMamy atakusaidia kutafasiriWimbo huu ulitoka nikiwa Primary School; tafsiri yake kamili siijui hadi kufikia kuruka ukuta. Hebu toa tasfri ya kwako.
Bendi ilikuwa inaitwa Vijana jazz ilikuwa inamilikiwa na TANU Youth League ikiongozwa na Hemedi Maneti aliyefariki mwaka 1990 kwa kinachosemekana ni ukimwi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aaRGixRNVqA
Celine Dion sasa ni mgonjwa, mapenzi na maisha ya Celine Dion ni changamoto kwakweliListening to new day by Celine Dion, damn she had a magic voice.
My play list, *
new day
My heart will go on .
Fool again
Queen of my heart
Niliuisikia kwa Mara ya kwanza kwenye 70s
Kabisa mkuu, mimi mpaka sasa nimeambulia hiyo We are the world tu, na ni kwa sababu MJ ni msanii nayemkubali sana.Watoto wa 2000 wanaona mauzauza tuu
Nafikiri mtunzi na muimbaji wa mwanzo Cat Steven
Miaka ya tisini Selina alikuwa moto sana, lakini Mungu ndiye anayejua hatima yeu kwani iko mikononi mwake siku zote. Selina wa leo siyo yule wa mwaka 1997.Celine Dion sasa ni mgonjwa, mapenzi na maisha ya Celine Dion ni changamoto kwakweli
Hii kuna kipindi cha redio (Sikumbuki redio gani) ilikuwa inatumika mwanzo wa kipindi.
Kuna dansa mwingine alikuwa anaitwa Double D, yaani Diga Diga, na mwingine akiitwa Super NgedereAlafu kulikua na dansa anaitwa Black Moses sijui alipotelea wapi.yule jamaa alipewa kipaji aisee sidhani km kuna dansa atamfikia yule
Black Moses,Diga diga ,Wametoka Morogoro hao, Super Ngedere, Nyamwela,, Latifa,lango la jiji(Flora), kuna mwingine alikua muigizaji na anadance sana tu kwa macheni pale makutano sikumbuki jina lake walikuja baadae na kina Jobiso na mama zao walikuja baadae.Kuna dansa mwingine alikuwa anaitwa Double D, yaani Diga Diga, na mwingine akiitwa Super Ngedere
Daa mkuu naona tuko umri sawaDonna Summer alivuma sana miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya themanini. Siyo wengi wanajua muziki wake leo. Mmoja wa vijana walioshiriki kwenye video hii ndio waliokuja kuanzisha Boyz-II-Men
Nilisisikiliza mziki wake mara ya kwanza kwenye LP nikiwa Seconday school kabla ya Vita ya Kagera.
View: https://www.youtube.com/watch?v=vGTs4EXKUWc