Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Atashtukia kabebeshwa mimba na Bodaboda wake... Astaghfirullah 🤣
Jamaa anadhani ni ujanja kupanga mipango mikubwa ya kifedha na mwanamke wake. Alitakiwa aamue na kumjulisha tu mkewe biashara imefunguliwa kaa hapa simamia na sio kupanga nae from the scratch. Mwanamke kwenye ndoa kafuata DUDU na sio mambo mengine. Yeye ndo kamvuruga mwanamke wake.
 
Atashtukia kabebeshwa mimba na Bodaboda wake... Astaghfi
Na namba 5 pia. Mwanamke kumwambia msizae kwanza ni kosa la karne.

SAWASAWA!
 
Hayo matarajio yalikuwa niyakweli kabisa na ndio lengo hasa lakuoa, kila anayeingia kwenye ndoa huwa anataraji hivyo, ISIPOKUWA iko hivi ndoa bora zina shina na mizizi, mojawapo ni malezi ya nyumbani kwao, alilelewaje?, Pili ni kila mmoja kujua majukumu yake kama mke au mume,

Ndoa ni unyenyekevu, subira, maridhiano, UWAZI NA UKWELI,

Pole kwachangamoto, ila pia usichoke badilisha mbinu, anza kumfunza baadhi yavitu muhimu kwenye ndoa huenda ikasaidia
 
Raha ya ndoa iko kwenye Uisilamu pake yake
 
Wapo wanaume wasio jielewa hawayajui hayo,

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Ndoa ni shimo la umauti magonjwa na upuuzi...
 
Nilifikiria kila siku nitaimbiwa zeze kumbe anaweza akaongea treni ikatoka Mwanza mpaka Dar yeye bado anabwabwaja
 
Mie mwenyewe pesa sawa lakini si kigezo saana cha upendo katika ndoa, mnaweza ishi maisha ya kawaida tu siku pesa ikiwatembelea tu na ugomvi unaanza,

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hayo unamwambia nani hawa hawa wanaojiita wasomi [emoji3][emoji3] mtu kashida kazini akirudi nyumbani badala ya kumpa mke nafasi ofisi inahamia nyumbani akitoka hapo kitandani, hayo yote atayafanyia wapi!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Na uwezo wakuzalisha uwepo sasa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuoa na ndoa ni akili za kipumbavu sana Sina muda na mambo ya kibazazi
 
Na ukiwafata utapotea watu wanapoelezea madhaifu ya wenzao wanasahau Yao kabisa na huenda wanafanya makosa mara nyingi
Muhimu Ishi maishayako watu hawafanani makosa hayafanani mazingira hayafanani
Umeongea point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…