kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Tumia unga wa majani ya mlonge utakuja kutoa ushuhuda wako hapa.Mi mwenyewe nasumbuliwa na kifua kikavu, yaani muda wote kuna kitu kinakua kooni ukikitoa ( is like makohozi) kina rudi kingine, ni mwaka wa pili now zunguka hospitali mbalimbali,piga X ray hawaoni ugonjwa. Naishia kupewa antibiotics na hazinisaidii. Sijui ni nini hiki na hata nitaponaje