NDORANGA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 216
- 376
Aaah,sawa mkuu huo ugonjwa unapona haraka Sana [emoji106] Fanya hivi;Hadi sasa mimi nasumbuka na hizi mba zangu za mgongoni. Nisaidieni Dawa maana nashindwa kuwa huru sehemu za kuogelea kama beach n.k.
1.Nenda Duka la dawa kanunue vidonge vya septrin(cetrizine)
2.Nunua mafuta ya babycare..dukani
3.chukua vidonge vya septrin (cetrizine) ulivyonunua kisha uviponde view unga kabisa alafu uchanganye kwenye mafuta ya babycare...
4.Jipakae huo mchanyiko asubuhi na jioni,baada ya wiki leta mrejesho..
Hii ni dawa ya uhakika..