kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Tumia unga wa majani ya mlonge utakuja kutoa ushuhuda wako hapa.Mi mwenyewe nasumbuliwa na kifua kikavu, yaani muda wote kuna kitu kinakua kooni ukikitoa ( is like makohozi) kina rudi kingine, ni mwaka wa pili now zunguka hospitali mbalimbali,piga X ray hawaoni ugonjwa. Naishia kupewa antibiotics na hazinisaidii. Sijui ni nini hiki na hata nitaponaje
Tumia kabichi kwa wingi....una upungufu wa madini..poleMim nasumbuliwa na goiter hata tiba sjui ni nib
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Tafuta dawa inaitwa montelukast....Mi mwenyewe nasumbuliwa na kifua kikavu, yaani muda wote kuna kitu kinakua kooni ukikitoa ( is like makohozi) kina rudi kingine, ni mwaka wa pili now zunguka hospitali mbalimbali,piga X ray hawaoni ugonjwa. Naishia kupewa antibiotics na hazinisaidii. Sijui ni nini hiki na hata nitaponaje
NdioAsante sana, inapatikana pharmcy??
bawasiri tafuta ANUSOL SUPP siku 6 na SITCOM tablet od siku 14 utumie.. gout tafuta dawa inaitwa ALLOPURINOL 300mg na Febuxostat tab. poleBawasiri na gout vinanisumbua mno mno, tena afadhal na hiyo gout, Bawasiri ime fanya hadi nashindwa kufanya kazi, msaada wandugu na teseka mno
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
tafuta montelukast 10mg na prednsolone tabs.Mi mwenyewe nasumbuliwa na kifua kikavu, yaani muda wote kuna kitu kinakua kooni ukikitoa ( is like makohozi) kina rudi kingine, ni mwaka wa pili now zunguka hospitali mbalimbali,piga X ray hawaoni ugonjwa. Naishia kupewa antibiotics na hazinisaidii. Sijui ni nini hiki na hata nitaponaje
Mim niyamezidTumia kabichi kwa wingi....una upungufu wa madini..pole
Wameshaurije hosp...au hujaenda
Ulipona kabisaVidonda vya tumbo nilitumia dawa inaitwa rabekind 20
Nimeenda nimepewa dawa zakuzuia kupunguza uzalishwaji wa hormones nyingWameshaurije hosp...au hujaenda
Shilong ngapiVidonda vya tumbo nilitumia dawa inaitwa rabekind 20