Ulitumia dawa au matibabu gani kupona ugonjwa uliokusumbua kwa muda mrefu?

Hadi sasa mimi nasumbuka na hizi mba zangu za mgongoni. Nisaidieni Dawa maana nashindwa kuwa huru sehemu za kuogelea kama beach n.k.
Aaah,sawa mkuu huo ugonjwa unapona haraka Sana [emoji106] Fanya hivi;
1.Nenda Duka la dawa kanunue vidonge vya septrin(cetrizine)
2.Nunua mafuta ya babycare..dukani
3.chukua vidonge vya septrin (cetrizine) ulivyonunua kisha uviponde view unga kabisa alafu uchanganye kwenye mafuta ya babycare...
4.Jipakae huo mchanyiko asubuhi na jioni,baada ya wiki leta mrejesho..
Hii ni dawa ya uhakika..
 
kuna binti alikuwa anasumbuliw ana sikio miaka nenda rudi... nikampelekea bhangi mbichi akatwanga akaweka yale maji maji yake ikabaki historia
Bhangi ni dawa nzuri ya sikio..
 
Nasumbuliwa na meno
Chukua Tunguja kamaa 7, weka kwenye sufuria, chukua malimao 3 katakata na maganda yake, weka kwenye sufuria pamoja na zile tunguja. Weka jikoni tia maji chemsha sana hakikisha maji yanabakia vikombe vitatu, sukutua hafu tema. Asubuhi kimoja, machana kimoja na kimaja usiku ukitaka kulala.
 
Aksanti
ila sijuwi tunguja nisaidiye na kapicha
 
Hizo tunguja unazikatakata?
 
Mimi nasumbuliwa Sana na tumbo kujaa gesi,mgongo na kiuno kuniuma.
Nilishapimwa kipimo Cha endoscopy wakasema Nina gastritis,nilitumia dawa za hospitalini na hata dawa za miti shamba lakini Hali bado na huu ni mwaka wa nane.
Hadi nimekata tamaa kwakweli.
Mwenye experience kama yangu na akapona anisaidie kuniambia alitumia dawa gani ama wataalam wanaojua dawa msaada jamani!!
 
0789 673 887 huyu jamaa anitwa jafary (anajiita kijana wa porini) yupo Instagram pia...binafsi nilikuwa na ulcers lakini saa hizi nakula hata maharage..pia hapa kwangu amemtibu mtoto aliyekuwa kikojozi.
 
Tunguja yenyewe haukatikati au sio mkuu!?
 
Pole sana mkuu ngoja wataalam waje.
 
Kama unaumwa ugonjwa wowote na umetumia dawa za hospitalini au miti shamba au virutubisbo tiba na hujapona bado kuna tumaini.
Ukiona umepita kote huko na jeri ya jana ujue tatizo haliko kwa dawa ulizotumia. Tatizo lipo kwako mwenyewe. Ndani ya mwiki wako kuna kitu kinaitwa seli shina. Kazi ya hizo seli ni kuuwezesha mwili ujitibu wenyewe au kusaidia dawa unazotumia ili zikutibu.

Endapo hizi seli zako zikiwa zimekufa au kupoteza uwezo inakua ngumu sana mgo jwa kupona au kutibika kwa dawa yyte ile.

Kwa hio kitu ambacho wataalamu na madaktari wa usiwis waligundua miaka ya hivi karibuni ni kumrudishia mgonjwa seli zake na kurekebisha zile zilizoharibika kwa matumizi ya stemcell therapy.

Stemcell therapy ni seli shina za mwili.zilizochakatwa kisayansi kutoka kwenye mimea na matunda yenye seli zinazofanana na za mwandamu.

Mgonjwa akitumia seli hizi kwa mzunguko wa siku 21 au 42 na 63. Zinauwezesha mwili kurudisha uwezo wake wa kiasili ambao utamsaidia kuondoa maradhi yote ndani na kuoambana na aina yyte ya magonjwa sugu. Hivyo kumsaodoa mgonjwa kupona kwa wepesi hata akitumia dawa dhaifu.

Stemcells therapy inahusika moja kwa moja au kwa kutumia dawa za kawaida kutibu zaidi ya magonjwa 200 yakiwepo haya kwenye picha.

Kwa maelezo zaidi mpigie dkt Ben Soy wa kitengo cha tiba Muhimbili 0719794789 au 0699254400.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…