Hahaha..........ukitaka uamini hilo, ndiyo maana Zamani Wanawake waliolewa wakiwa mabikra.Hamna lolote utamu wa pipi mate yako π€£π€£π€£π€£
Wanaume tunazidi kupungua inasikitisha sana. Halafu anakapigia magoti kamanzi kenyewe used na bado kwenye ndoa anakahudumia. Mambo ya hovyo sanaHuo mtindo sijui nani ameuleta, naona una trend sana miaka hii π
Unakuta Mwanaume mwenye hata 40yrs anampigia magoti Mkewe wa miaka 28 π
25 ni namba nzuri Kwa waalikwaSijafika huko ila tuliongea waalikwa watakua 25 tu yeye akiwa anataka wawe 15 hao 10 nimetumia nguvu sana kuwaombea, then figure it out gharama itakuwa kiasi gani roughly
Hiyo kuhudumia ni Jukumu letu Wanaume, hata Mimi Bibi yenu namuhudumia tangu akiwa Mchumba hadi nimemwoaWanaume tunazidi kupungua inasikitisha sana. Halafu anakapigia magoti kamanzi kenyewe used na bado kwenye ndoa anakahudumia. Mambo ya hovyo sana
Itakuwa na watu wengi sanaHujawahi kuishi Kwa kufikiria (Projection, Imagination)? π
Mabibi wa zamani ni kweli waliolewa na bikira zao lkn walikuwa wanachepuka km wamefungwa injini ya scania π€£π€£π€£π€£Hahaha..........ukitaka uamini hilo, ndiyo maana Zamani Wanawake waliolewa wakiwa mabikra.
Akikutana na mumewe Siku ya harusi hata kama ana kibamia basi yeye maisha yake yote atakifahamu hicho hicho kibamia, kitamliza na kumfikisha Kibo Siku zote
Sasa we jichanganye huko nje, utakutana na aina zote iwe ndefu/fupi/nene/nyembamba n.k π€
Ni kweli kabisa jukumu la mwanaume ni kumhudumia mke tu na sio girlfriend au mpenzi.Hiyo kuhudumia ni Jukumu letu Wanaume, hata Mimi Bibi yenu namuhudumia tangu akiwa Mchumba hadi nimemwoa
Tatizo ni hapo kwenye Used ππ
Hongera MkuuItakuwa na watu wengi sana
Na hivi nipo pekee msichana kwenye huu familia..woii
Sina guarantee na katika maisha yangu sifanyi vitu kwa kukurupuka ,, mipango ya mbeleni ni muhimu na naamini mimi na mwenza wangu tutafika.Una guarantee ya Maisha yako mpendwa?
Mara ya mwisho nilihudhuria harusi moja ..waaalikwa walikua zaidi ya 500..na vitu vilibaki25 ni namba nzuri Kwa waalikwa
Hao hata kama mkisema wale na Kunywa, basi mtamudu bajeti zao pasipo kutoboka mifukoni
Walichepuka ndiyo lakini sio kama ninyi wa kisasaMabibi wa zamani ni kweli waliolewa na bikira zao lkn walikuwa wanachepuka km wamefungwa injini ya scania π€£π€£π€£π€£
Unakuta ana mtoto kafanana na babu wa jirani karibu na kwenu!! Hapo babu umenipiga chenga mabibi tunakaa nao tunapiga nao soga, wana mengi ya sirini
Usitusemee we baba wewe mi napenda kimya kimya sitaki wapambe kabisaVyema kujipanga, aisee Wanawake hawapendi Ndoa za kimya kimya hata mara moja π
Ni ilikua ya mtoto wa Tajiri mmoja hv..Hao lazima walijipanga sana aisee π
Mkuu Wanaume tumeumbiwa matesoUnahifadhi fedha 5 years uje umuoe mtu ambaye ushamuoa?
π€£π€£π€£ na changamoto iliyopo kama ni used lazima huyo atakuwa malaya.Tatizo ni hapo kwenye Used ππ
Mko wa chache sana wa hivi ..ila wengi wanapenda sherehe maana ina faidaUsitusemee we baba wewe mi napenda kimya kimya sitaki wapambe kabisa