Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hamna lolote utamu wa pipi mate yako 🤣🤣🤣🤣
Hahaha..........ukitaka uamini hilo, ndiyo maana Zamani Wanawake waliolewa wakiwa mabikra.

Akikutana na mumewe Siku ya harusi hata kama ana kibamia basi yeye maisha yake yote atakifahamu hicho hicho kibamia, kitamliza na kumfikisha Kibo Siku zote

Sasa we jichanganye huko nje, utakutana na aina zote iwe ndefu/fupi/nene/nyembamba n.k 🤗
 
Sijafika huko ila tuliongea waalikwa watakua 25 tu yeye akiwa anataka wawe 15 hao 10 nimetumia nguvu sana kuwaombea, then figure it out gharama itakuwa kiasi gani roughly
25 ni namba nzuri Kwa waalikwa

Hao hata kama mkisema wale na Kunywa, basi mtamudu bajeti zao pasipo kutoboka mifukoni
 
Wanaume tunazidi kupungua inasikitisha sana. Halafu anakapigia magoti kamanzi kenyewe used na bado kwenye ndoa anakahudumia. Mambo ya hovyo sana
Hiyo kuhudumia ni Jukumu letu Wanaume, hata Mimi Bibi yenu namuhudumia tangu akiwa Mchumba hadi nimemwoa

Tatizo ni hapo kwenye Used 🙌😜
 
Hahaha..........ukitaka uamini hilo, ndiyo maana Zamani Wanawake waliolewa wakiwa mabikra.

Akikutana na mumewe Siku ya harusi hata kama ana kibamia basi yeye maisha yake yote atakifahamu hicho hicho kibamia, kitamliza na kumfikisha Kibo Siku zote

Sasa we jichanganye huko nje, utakutana na aina zote iwe ndefu/fupi/nene/nyembamba n.k 🤗
Mabibi wa zamani ni kweli waliolewa na bikira zao lkn walikuwa wanachepuka km wamefungwa injini ya scania 🤣🤣🤣🤣

Unakuta ana mtoto kafanana na babu wa jirani karibu na kwenu!! Hapo babu umenipiga chenga mabibi tunakaa nao tunapiga nao soga, wana mengi ya sirini
 
Hiyo kuhudumia ni Jukumu letu Wanaume, hata Mimi Bibi yenu namuhudumia tangu akiwa Mchumba hadi nimemwoa

Tatizo ni hapo kwenye Used 🙌😜
Ni kweli kabisa jukumu la mwanaume ni kumhudumia mke tu na sio girlfriend au mpenzi.

Ila nilitaka kuonyesha kuwa mwanamume anayefanya jukumu kama hilo hapaswi kujidharirisha kwa kupiga goti
 
Mabibi wa zamani ni kweli waliolewa na bikira zao lkn walikuwa wanachepuka km wamefungwa injini ya scania 🤣🤣🤣🤣

Unakuta ana mtoto kafanana na babu wa jirani karibu na kwenu!! Hapo babu umenipiga chenga mabibi tunakaa nao tunapiga nao soga, wana mengi ya sirini
Walichepuka ndiyo lakini sio kama ninyi wa kisasa

Bora uchepuke na Mmoja but unakuta unachepuka ni Kijiji kizima, ukisema uwapange wanajaa Coaster ya Buguruni - Kawe 😅🙌
 
Unahifadhi fedha 5 years uje umuoe mtu ambaye ushamuoa?
Mkuu Wanaume tumeumbiwa mateso

Ndiyo maana tunatumia zaidi ya asilimia 80 ya Kipato chetu kuhakikisha Mkeo na familia Kwa ujumla inakuwa na amani na furaha

Nyumba ikiwa haina amani, itakuathiri Kazini pamoja na kipato Kwa ujumla

Ndiyo maana Wazee walisema nyumba yenye amani ni ile ambayo "Kitanda kinatikisika Usiku" 🤗
 
Tatizo ni hapo kwenye Used 🙌😜
🤣🤣🤣 na changamoto iliyopo kama ni used lazima huyo atakuwa malaya.

Kwa sababu huwa najiuliza mpaka mimi nimekuja kumuoa kashachezea virungu vingapi?

Ndio maana suala la usaliti limekuwa kawaida sana

Wazungu wanasema ukimuoa aliyetumika your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the last
 
Back
Top Bottom