Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
- Thread starter
- #241
Hahaha..........ukitaka uamini hilo, ndiyo maana Zamani Wanawake waliolewa wakiwa mabikra.Hamna lolote utamu wa pipi mate yako 🤣🤣🤣🤣
Akikutana na mumewe Siku ya harusi hata kama ana kibamia basi yeye maisha yake yote atakifahamu hicho hicho kibamia, kitamliza na kumfikisha Kibo Siku zote
Sasa we jichanganye huko nje, utakutana na aina zote iwe ndefu/fupi/nene/nyembamba n.k 🤗