Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mi Nita mnunulia iliyo best kwa muda hio, na si moja aubili ni special editionππKwani hujaona abaya ya rangi ya gold?
Nilimnunulia Bibi yenu Mwaka 93 wakati yanaanza kuingia ingia Bongo π
Umesharudi vizuri sana DogoToka nikiwa mdogo am not a fan wa masherehe, unaweza ikawa yangu but nawaacha mna shangaa tu.
Basi jamii Ina paswa change thinking style yake, ili kutoka kizazi kijacho.
Mtoto aki zaliwa happy birthday yake, badala ya mabeseni ya laki 2 au blanketi la laki 1.
badla yake anunuliwe angalau hela 1 ya shamba hata Kama ni porini.
Mtoto badala ya kukimbizwa kusoma dini kupita kiasi, apewe pia mafunnzo ya uchumi kwa kina.
Kijana kabla ya ku graduate secondary, afundishwe ujuzi fulani kwa vitendo.
Hizi ita saidia huko mbeleni.
Sema pia wazazi wapambane kuwa andaliwa vijana wao mfuko wa hifadhi ya Fedha.Umesharudi vizuri sana Dogo
Kuhusu ujuzi, nadhani kama Taifa tumezembea kidogo
Kuna Shule mbili za Msingi Mkoa wa Morogoro nilizikuta zinatoa mafunzo ya Ufundi Kwa Wanafunzi wake.
Imagine mtoto wa Shule ya msingi anafundishwa Ujuzi wa Kilimo/Ujenzi/Ufugaji n.k
Halafu Mwanafunzi huyo akaenda Shule ya Sekondari ya Ufundi labda Iyunga/Ifunda/Moshi n.k
Then Mwanafunzi huyo akaenda kusoma Diploma MUST/ARUSHA Tech. ama DIT
Huyo mtoto lazima atakuja kuwa Mhandisi (Engineer)mzuri kwenye eneo lake
Nyerere alikuwa na mtazamo huo badala yake saivi Watawala wetu wamegeuka Wafanyabiashara hivyo kuamua kuharibu mfumo mzima wa Elimu Kwa manufaa yao
Juzi nime jifunza classic, even if you got nothing.Hahaha..........itakuwa poa sana, maana kawaida Wanawake wanapenda sana zawadi
Of course ni mfumo mzuri sana ukiuanza mapemaSema pia wazazi wapambane kuwa andaliwa vijana wao mfuko wa hifadhi ya Fedha.
Siku ana zaliwa awekewe hata 20-50k, na kila Baada ya mwezi au miezi 3 kwa wasio ma uwezo awekewe 50k.
Mpaka siku ana fika sehemu fulani, ata kuwa kaji panga na pesa nzuri Sana.
Shii ita saidia kwa jinsia zote, hasa Wanawake maana ita waepusha na kina ngoswe wazeeππ
Zawadi zinazidisha mapenzi/MahabaJuzi nime jifunza classic, even if you got nothing.
Learn to be classic kwa kweliπ, aki toka una sema naaam habity wangu nili pata.
Sio Nili yatimba π€£
Hii nchi tuna feli sekta mbili tu, Niki pewa nafasi ya kushauri Nita sema sekta ya uchumi na ulinzi ziko nyuma Sana.Of course ni mfumo mzuri sana ukiuanza mapema
Japo Kwa familia zetu za Kibongo wenye watoto 7 na kuendelea huwa gumu kufanikiwa
Platform za kushauri zipo mbonaHii nchi tuna feli sekta mbili tu, Niki pewa nafasi ya kushauri Nita sema sekta ya uchumi na ulinzi ziko nyuma Sana.
Sekta ya uchumi ili paswa ifunguke zaidi ya sana, vijana wange kuja na hoja za kwenda mbele.
Wizara ya ulinzi, aisee wenzetu Wana tufanyia ujasusi wa kiuchumi mpaka saa nyingine una Baki una shangaa.
Naam ata vaa tuπ, na uta muona siku 1 aki tokea.Zawadi zinazidisha mapenzi/Mahaba
Unashangaa ukirudi nyumbani na zawadi Siku hiyo unakuta Waifu anakupa vitu adhimu Kwa bed kumbe amefurahia zawadi uliyomletea π π
Hii ni Kwa Wazee lakini, sio nyie Vijana π
nah mkubwa, Kuna mtu ali sema usi sindikize Watu kwenye utajiri.Platform za kushauri zipo mbona
Siku hizi Serikali inatumia sana mfumo wa Serikali Mtandao, kwahiyo ukiandika maoni yako wanayafanyia kazi Kwa haraka kabisa
Hahaha.................basi hizo Nondo nitumie Babu yako hapa ili niwapelekee wahusika maana Kwa umri wangu sihitaji kupandishwa Cheo Wala nini maana tulishastaafu ajira zao miaka Kenda iliyopita πnah mkubwa, Kuna mtu ali sema usi sindikize Watu kwenye utajiri.
Una enda Tema nondo, ana zitumia fulani ili apandishwe cheo kuwa mpigajiπ€£π
Au sio, we si Waki kupa ka mgao ka nyumba tatu kule mikocheni, una ongeza na mke wa 4 kabisa π€£Hahaha.................basi hizo Nondo nitumie Babu yako hapa ili niwapelekee wahusika maana Kwa umri wangu sihitaji kupandishwa Cheo Wala nini maana tulishastaafu ajira zao miaka Kenda iliyopita π
Hahaha...........eti mgao wa nyumba Mikocheni πAu sio, we si Waki kupa ka mgao ka nyumba tatu kule mikocheni, una ongeza na mke wa 4 kabisa π€£
Kuna kazee Kali kuwa ka kiongozi kwenye Jambo letu Fulani.Hahaha...........eti mgao wa nyumba Mikocheni π
Nyumba sio big deal kwangu, muhimu hicho kingine ulichosema
Nataka nikaongeze Mke mwingine tu π
Ngoja siku nikiamka vzr nitakutumia picha za Familia yangu sheikhππππila itakuwa 2040Kumbe wewe bado huja oa mzeeππ, hata toto huna nahisi π
Yaninmi nioe kwako, Akati mkwe huja oa π€π€£π€£π€£.Ngoja siku nikiamka vzr nitakutumia picha za Familia yangu sheikhππππila itakuwa 2040
Barter tradeππYaninmi nioe kwako, Akati mkwe huja oa π€π€£π€£π€£.
SI ndo uta tafutia mahari kwangu, ili uka oeπ€
Naleta chumvi Sasaπ€πBarter tradeππ
Kwan tupo zama za mawe kaka πNaleta chumvi Sasaπ€π