Toka nikiwa mdogo am not a fan wa masherehe, unaweza ikawa yangu but nawaacha mna shangaa tu.
Basi jamii Ina paswa change thinking style yake, ili kutoka kizazi kijacho.
Mtoto aki zaliwa happy birthday yake, badala ya mabeseni ya laki 2 au blanketi la laki 1.
badla yake anunuliwe angalau hela 1 ya shamba hata Kama ni porini.
Mtoto badala ya kukimbizwa kusoma dini kupita kiasi, apewe pia mafunnzo ya uchumi kwa kina.
Kijana kabla ya ku graduate secondary, afundishwe ujuzi fulani kwa vitendo.
Hizi ita saidia huko mbeleni.