Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Toka nikiwa mdogo am not a fan wa masherehe, unaweza ikawa yangu but nawaacha mna shangaa tu.

Basi jamii Ina paswa change thinking style yake, ili kutoka kizazi kijacho.

Mtoto aki zaliwa happy birthday yake, badala ya mabeseni ya laki 2 au blanketi la laki 1.
badla yake anunuliwe angalau hela 1 ya shamba hata Kama ni porini.

Mtoto badala ya kukimbizwa kusoma dini kupita kiasi, apewe pia mafunnzo ya uchumi kwa kina.

Kijana kabla ya ku graduate secondary, afundishwe ujuzi fulani kwa vitendo.
Hizi ita saidia huko mbeleni.
Umesharudi vizuri sana Dogo

Kuhusu ujuzi, nadhani kama Taifa tumezembea kidogo

Kuna Shule mbili za Msingi Mkoa wa Morogoro nilizikuta zinatoa mafunzo ya Ufundi Kwa Wanafunzi wake.

Imagine mtoto wa Shule ya msingi anafundishwa Ujuzi wa Kilimo/Ujenzi/Ufugaji n.k

Halafu Mwanafunzi huyo akaenda Shule ya Sekondari ya Ufundi labda Iyunga/Ifunda/Moshi n.k

Then Mwanafunzi huyo akaenda kusoma Diploma MUST/ARUSHA Tech. ama DIT

Huyo mtoto lazima atakuja kuwa Mhandisi (Engineer)mzuri kwenye eneo lake

Nyerere alikuwa na mtazamo huo badala yake saivi Watawala wetu wamegeuka Wafanyabiashara hivyo kuamua kuharibu mfumo mzima wa Elimu Kwa manufaa yao
 
Sema pia wazazi wapambane kuwa andaliwa vijana wao mfuko wa hifadhi ya Fedha.

Siku ana zaliwa awekewe hata 20-50k, na kila Baada ya mwezi au miezi 3 kwa wasio ma uwezo awekewe 50k.

Mpaka siku ana fika sehemu fulani, ata kuwa kaji panga na pesa nzuri Sana.
Shii ita saidia kwa jinsia zote, hasa Wanawake maana ita waepusha na kina ngoswe wazee😀😝
 
Of course ni mfumo mzuri sana ukiuanza mapema

Japo Kwa familia zetu za Kibongo wenye watoto 7 na kuendelea huwa gumu kufanikiwa
 
Juzi nime jifunza classic, even if you got nothing.
Learn to be classic kwa kweli😀, aki toka una sema naaam habity wangu nili pata.
Sio Nili yatimba 🤣
Zawadi zinazidisha mapenzi/Mahaba

Unashangaa ukirudi nyumbani na zawadi Siku hiyo unakuta Waifu anakupa vitu adhimu Kwa bed kumbe amefurahia zawadi uliyomletea 😅😅

Hii ni Kwa Wazee lakini, sio nyie Vijana 😜
 
Of course ni mfumo mzuri sana ukiuanza mapema

Japo Kwa familia zetu za Kibongo wenye watoto 7 na kuendelea huwa gumu kufanikiwa
Hii nchi tuna feli sekta mbili tu, Niki pewa nafasi ya kushauri Nita sema sekta ya uchumi na ulinzi ziko nyuma Sana.

Sekta ya uchumi ili paswa ifunguke zaidi ya sana, vijana wange kuja na hoja za kwenda mbele.

Wizara ya ulinzi, aisee wenzetu Wana tufanyia ujasusi wa kiuchumi mpaka saa nyingine una Baki una shangaa.
 
Platform za kushauri zipo mbona

Siku hizi Serikali inatumia sana mfumo wa Serikali Mtandao, kwahiyo ukiandika maoni yako wanayafanyia kazi Kwa haraka kabisa
 
Zawadi zinazidisha mapenzi/Mahaba

Unashangaa ukirudi nyumbani na zawadi Siku hiyo unakuta Waifu anakupa vitu adhimu Kwa bed kumbe amefurahia zawadi uliyomletea 😅😅

Hii ni Kwa Wazee lakini, sio nyie Vijana 😜
Naam ata vaa tu😀, na uta muona siku 1 aki tokea.
 
Platform za kushauri zipo mbona

Siku hizi Serikali inatumia sana mfumo wa Serikali Mtandao, kwahiyo ukiandika maoni yako wanayafanyia kazi Kwa haraka kabisa
nah mkubwa, Kuna mtu ali sema usi sindikize Watu kwenye utajiri.

Una enda Tema nondo, ana zitumia fulani ili apandishwe cheo kuwa mpigaji🤣😀
 
Hahaha.................basi hizo Nondo nitumie Babu yako hapa ili niwapelekee wahusika maana Kwa umri wangu sihitaji kupandishwa Cheo Wala nini maana tulishastaafu ajira zao miaka Kenda iliyopita 😜
 
Au sio, we si Waki kupa ka mgao ka nyumba tatu kule mikocheni, una ongeza na mke wa 4 kabisa 🤣
 
Hahaha...........eti mgao wa nyumba Mikocheni 😅

Nyumba sio big deal kwangu, muhimu hicho kingine ulichosema

Nataka nikaongeze Mke mwingine tu 😜
Kuna kazee Kali kuwa ka kiongozi kwenye Jambo letu Fulani.
Una sikia tukaze buti, mpaka mambo yetu yawe sawa.

Kakawa kana lazimisha tukape uongozi wa sehemu ya wanao jadili na idara hiyo.
Bahati nzuri na udogo wangu, nikawa na urafiki na wazee wa ndani ndani 😀.

SI ndo kupewa habari kuwa kana sema kaki ukwaa, kata Hakikisha wakubwa ndo Wana faidika.
As long gawio lake liwepo, na kalisha pewa donation baadhi.

Hata sahau yule mzee🤣😀, kilicho fanyika ni zaidi ya mission ya Vietnam 🤣🤣
 
Back
Top Bottom