Aiseeh tatizo kama langu wangu Ex tokea nimemuacha hadi leo Unakaribia mwaka lakini anaendelea kunipigia simu nilisha mkataza lakini hasikii, juzi nilimwambia tuma message ambazo hazioneshi mahusiano ya kimapenzi maana mimi nina Binti Mwingine tayari kimahusuano.Hivi kwa wale ving'ang'anizi wenzangu huwa mnatumia njia Gani? Yaani kila ukibadili namba anaitafuta na kupiga tena kuomba msamaha,huwa mnafanyaje nami ni mjanga wa hili aisee.
Kama wewe ni RC kama mimi huo Kwako, ushakuwa msala, ila kama imani ya Dini yako inaruhusu kumuacha achana nae ni bora kusolve tatizo kabla halijawa kubwa.Sasa Mimi nilishatoa na mahari nifanyeje kumuacha?
Daaaa......mkuu!!Mwambia tu umeamua kuchenjulia makinikia yako kwny smelter mpya
Naona unawahi fursa mapema! we sio wa mchezo mchezo
Lakini huyo ni binti wa kirombo sio mmachame, mmarangu wala wa kishumundu. Binti wa kirombo ni jembe la ukweli na huwezi kumpata kirahisi hivyo mkuu!
asante nishapoaDah pole sana aisee
bali wewe ni mnyama au...Mimi siyo mtu ila nakuhitaji,..
Ma x wangu wote huwanawaacha kimya kmya tu yaani simtafuti na hata akinipigia simu sipokei sms sijibu, mwishowe huchoka kunitafuta na kujikatia tamaaSalutiii....MMU....!!!!!! Niingie janvin mojakwamoja ..binafsi mm ex wangu. Nilimtext. Nikamfahamisha. ...enhe wadau karibun tujuzane..... Je wewe ulitumia njia ipi???
Kuwa makin, huyo enginer atakurudia siku moja akuchenjue then ajikate tenaDah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
Haaaa not hell say to heaven just to wish him all the best anyway I'm here for you warmly welcome cute.Dah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
Kafanyaje ! Haaaaa kazi ipoSasa Mimi nilishatoa na mahari nifanyeje kumuacha?
Kwani RC inazuia nn? Unatumia andiko gani?Kama wewe ni RC kama mimi huo Kwako, ushakuwa msala, ila kama imani ya Dini yako inaruhusu kumuacha achana nae ni bora kusolve tatizo kabla halijawa kubwa.
Kuwa makin, huyo enginer atakurudia siku moja akuchenjue then ajikate tena
Halafu mbaya zaidi ni kwamba haiwezi kuwa kama zamaniUnapoamua kumuacha mtu jaribu kuwepo na sababu ya msingi ambayo inakufanya umuachae wengi wao baadae wanajuta kurudi anatamani lakini ndio unakuta haiwezekani
Nakumbuka kuna ex wangu mmoja alianza kunipotezea, simu nikipiga haipokelew, msg hajib na akipokea sio uchangamfu km zaman mtu mzima nikajiongeza na mimi nikakaa kimya ikapita miezi saba siku ya siku ananipigia simu kwa vilio juu anahitaji tuwe kama zamani.
Mkuu unaniiga, mimi siwezi kumwacha mtu kwa kashfa ase...Ma x wangu wote huwanawaacha kimya kmya tu yaani simtafuti na hata akinipigia simu sipokei sms sijibu, mwishowe huchoka kunitafuta na kujikatia tamaa
Hii njia imenifanyia urahisi sana hasa pale napohitaji kupasha kiporo, simple tu huwarudia