Propolis
Member
- Aug 21, 2016
- 34
- 50
Aiseeh tatizo kama langu wangu Ex tokea nimemuacha hadi leo Unakaribia mwaka lakini anaendelea kunipigia simu nilisha mkataza lakini hasikii, juzi nilimwambia tuma message ambazo hazioneshi mahusiano ya kimapenzi maana mimi nina Binti Mwingine tayari kimahusuano.Hivi kwa wale ving'ang'anizi wenzangu huwa mnatumia njia Gani? Yaani kila ukibadili namba anaitafuta na kupiga tena kuomba msamaha,huwa mnafanyaje nami ni mjanga wa hili aisee.