Anthony horowitz
JF-Expert Member
- May 4, 2024
- 421
- 1,042
Kaka Mimi niki taka oa Nita tazama vyakula kutoka tanga, tabora, Ethiopia, au somalia hapo.Kwanza the taste is the atitude of mind!. Tumeishi South the food looks so tasty, I never enjoyed the South African meals, ugali wao wanaita pulp they are bulky but tasteless!. Sasa sisi watu wa kula kula nimerudi second time with another friend, umefikia the same place the same club mpishi kakuona anaamua kukuletea chakula kumbe wewe umepanga kubadili mboga hivyo unazuga umeshiba!. At the same time rafiki uliye nae anapendezewa, una mu introduces. Next day jamaa anakuambia the food was so delicious!.
Hii imenikuta kwa Ethiopian restaurants, mapishi ya Wahabeshi, the foods looks so tasty but..., hata Wasomali na Wanyarwanda!.
Halafu Baganda... ni hatari ya danger kama Vyakula vya Kihaya, nsenene zisikie tuu!.
Kwa Bongo, vyakula vya Kitanga... so delicious, ila pia kuna vyakula kama vya Kizaramo, Lindi na Mtwara, they don't look so tasty but...
Hivyo nika concludes the taste is just an atitute of mind ila pia environments inachangia, vyakula vya tropical Africa ni very hot, vyakula vya kizungu, very cold!.
Kuna mpishi fulani wa Tanga ni Dr. Tulikutana JKT Makotupora, anapikia mitunduruni, asali itasubiri.
Baada ya JKT akaenda kusoma medicine Urusi Rostov kwe barafu. Mimi niko US, wakati wa likizo, akanialika, akajitahidi kupika yale yale mapishi ya Kitanga, ile asali sikuiona tena!. Imepotea!. Alipomaliza Shule akarudi Bongo, nikamfata Tanga, nikapikiwa, huwezi amini, utamu wa vyakula vya Kitanga kitanga ukarejea!. Akaja kuolewa, nami nikaoa. Baadae akahamia nchi fulani ya baridi, siku niko kule FB status ikamuonyesha, akanijia juu unawezaje kuja hunitafuti!, nikamwambia niliogopa mke wa mtu!. Kumbe Mr. wake amesafiri!, si akaamua kuja hotelini kwangu!. Ndio uzuri wa urafiki wa no strings attached, kama utani vile, mara tulipasha kiporo!, but I found nothing!, sijui ni ile guilty conscious, mbona most the forbidden fruits is the sweetest, so nikajiuliza why?. Niliporejea US kwa mali zangu mwenyewe ndio nikapata uthibitisho, chakula cha hot weather ni hot, na chakula cha cold weather ni cold hata kama utakipasha na microwave!.
Kiukweli kama ni kula!, watu tumekula hadi misosi ya Bungeni, Ma RC na vyakula vya ubalozini zile party za Watanzania... tumekula sana!.
P
Hizo sehemu zina vyakula vyenye ladha murua. Sana, hata wapishi wajua kazi yao.