Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

It's about being truthful to yourself and very transparent to the society kuhusu mapito yetu tuliopitia, hata ukisikia jamaa amechomoka, utasikitika kwa sababu ulimfahamu, lakini sio kumlilia but to celebrate his life kuwa he lived his life to the fullest!. Mungu ametuleta duniani ili tule raha, ndio maana Eva akamegwa tunda akapata raha, akamlazimisha Adam kumega tunda, wakala raha na kuishia uzingizini!. Mungu ametuumba kula raha!, life is all about kula raha, hivyo kama ni raha tumekula sana na tumefaidi sana tuu!.
P
Kwa hiyo unatushauri na sisi 'wanao' tule 'raha'..to the fullest '...?
 
Kwa hiyo unatushauri na sisi 'wanao' tule 'raha'..to the fullest '...
Yes that is the purpose of life, hapa duniani ni tunapita tuu, kule peponi, kila mwanaume ametengewa wanawali 7 wa kumpa raha, na huko ni raha milele, kitu muhimu kwenye kula, kula vinono, usifakamie, usizidishe ukavimbiwa, na angalia usalama kwanza.
P
 
It's about being truthful to yourself and very transparent to the society kuhusu mapito yetu tuliopitia, hata ukisikia jamaa amechomoka, utasikitika kwa sababu ulimfahamu, lakini sio kumlilia but to celebrate his life kuwa he lived his life to the fullest!. Mungu ametuleta duniani ili tule raha, ndio maana Eva akamegwa tunda akapata raha, akamlazimisha Adam kumega tunda, wakala raha na kuishia uzingizini!. Mungu ametuumba kula raha!, life is all about kula raha, hivyo kama ni raha tumekula sana na tumefaidi sana tuu!.
P
Mfalme Suleiman alikula hizo 'raha' zaidi yako, ila mwishowe alikiri yote hayo ni 'ubatili mtupu '.

Mhubiri 1 :2
Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

Mhubiri 1: 8
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.

Mhubiri 1 :9
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.

Mhubiri 1: 10
Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.

Mhubiri 1: 11
Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
 
Mkwe Mimi kwa list umenishinda ila nimekulia chakula Cha
KINAIGERIA,
KIHINDI
WAFILIPINO
GHANAIAN 😂😂😂

usisahau kutoa ushuhuda kuwa ladha ya chakula Cha kiafrika imezidi utamu wa Radha ya vyakula vya mataifa mengine...!😂😂😂​
 
Wengine tupo sensitive sana na vyakula.

Roho ikikataa unaachana nacho.
Upo kama Mimi...Hadi Kuna muda Huwa najishtukia mwenyeji wangu anadhani pengine Sina njaa...!

Njaa nakuwa nayo ya haja tu ila ndio hivyo Tena mtalimbo unanipa alert niache kiranga urafi utaniua...😂😂😂​
 
Mm nilikula chakula cha Tanga aisee hapana wale watu mafundi aisee...
Halafu wambulu nao hawapo nyuma...rangi ya chakula cha kimbulu....sasa!...
Moshi kwetu sio saaana....
 
Mm nilikula chakula cha Tanga aisee hapana wale watu mafundi aisee...
Halafu wambulu nao hawapo nyuma...rangi ya chakula cha kimbulu....sasa!...
Moshi kwetu sio saaana....
Japo nimeonja Radha za vyakula Hadi vya kimataifa ila Radha ya chakula Cha kimachame haijanikifu...!
 
Back
Top Bottom