Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Wanabodi,

Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri, mimi napenda sana kusafiri, na napenda kula. Kila nikisafiri mahali popote hupendelea sana kula the local foods za mahali hapo.

Vyakula tofauti tofauti vina tastes tofauti tofauti, kuna vyakula kwa kuvitazama kwa macho unaviona they look good hivyo ukila utafaidi lakini unapokula unakuta ni tasteless, na kuna vyakula kusema ukweli ukitazama machoni kama zile nyama za mnadani, they don't look so good au mazingira kama ya kwa Mromboo pale Arusha, mazingira ni horrible fulani but the meat is so tasty.

Wewe unaweza kukumbuka baadhi ya vyakula ulivyokula vya makabila, jamii, na mataifa mbalimbali? Vipi ulifaidi, ukikumbuka unajisikia raha?

Kwa upande wangu nimewahi kula vyakula vya makabila haya, jamii hizi na mataifa haya;
  • Moshi Wachagga wa Kirua Vunjo​
  • Moshi Machame​
  • Moshi Kibosho​
  • Moshi Siha​
  • Moshi Wapare​
  • Arusha Waarusha​
  • Arusha Wameru​
  • Arusha Wamasai​
  • Babati Wambulu​
  • Singida Wanyaturu​
  • Singida Wanyiramba​
  • Dodoma Wagogo​
  • Morogoro Wapogoro​
  • Morogoro Waluguru​
  • Morogoro Wakaguru​
  • Pwani Wadengereko​
  • Dar es Salaam, Wazaramo​
  • Iringa Wahehe​
  • Iriga wabena​
  • Iringa Wakinga​
  • Mbeya Wanyakyusa​
  • Songea Wangoni​
  • Songea Wanyasa​
  • Tanga Wasambaa​
  • Tanga Wadigo​
  • Tanga Wabondei​
  • Bukoba Wahaya​
  • Bukoba Wahangaza​
  • Lindi Wamachinga​
  • Mtwara Wamakonde​
  • Musoma Wajita​
  • Tarime Wakurya​
  • Ukwerewe Wakerewe​
  • Mwanza Wasukuma​
  • Tabora Wanyawezi​
  • Zanzibar Wazanzibari​
  • Pemba Wapemba​
  • Mafia Wamafya​
  • Kigoma Waha​
  • Kenya Wakikuyu​
  • Kenya Wakamba​
  • Uganda Watoro​
  • Uganda Waganda​
  • Uganda Wanyankole​
  • Rwanda Wanyarwanda​
  • Burundi Warundi​
  • Zambia Wazambia​
  • Malawi Wamalawi​
  • Msimbiji Wasumbiji​
  • Angola wa Mulato​
  • Swaziland Wazwazi​
  • Lesotho Wasotho​
  • South Africa Wazulu​
  • South Africa Wakhosa​
  • South Africa Africans​
  • Zimbabwe wa Matebele​
  • Malawi Wamaawi​
  • Congo Wakongo​
  • Ghana Waghana​
  • Liberia wa Liberia​
  • Cote d'ivoire Wakote​
  • Ethiopia Wahabeshi​
  • Sudan ya Kusini Wasudani​
  • Somalia Wasomali​
  • UK Waingereza​
  • US Waamerica​
  • Swiss Wa Swiss​
  • Italy Wataliano​
  • Sweden wa Swedish​
  • Norway wa Norwegians​
  • Finland wa Fini​
  • Germany Wajerumani​
  • Poland wa Polish,​
  • Canada wa Canadian​
  • India Wahindu​
  • Russia Warusi​
  • China Wachina​
  • Japan Wajapan.​
Ukisafiri ukifika popote ukalala hata usiku mmoja, hakikisha usiishie kula vyakula vya hotel, toka, walk around, grab a local taxi, madereva taxi wanajua wapi you can get a local tasty meal, kama unapenda kula kila ukisafiri hakikisha you feast the taste.

Leo tumeanza Kwaresma, baada ya Kwaresma nitarejea kwenye uzi huu niwape mastori wapi ni kitamu na nilifaidi.

Kwa leo nawatakia Kwaresma njema.

Paskali
Mkuu pasco, leta mada za moto za voices from within tuumize vichwa kidogo
 
Uliwahi kula vyakula vya makabila gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?​

Leo tumeanza Kwaresma, baada ya Kwaresma nitarejea kwenye uzi huu niwape mastori ya kwa upande wapi vyakula vya wapi ni vitamu na nilifaidi!.

NB. Kwa vile vyakula vipo vya aina nyingi, na vinaliwa wakati tofauti tofauti, mfano cha asubuhi ambacho ni breakfast, cha mchana ambacho ni lunch, ila it is worldwide believed kuwa kitamu zaidi sio cha asubuhi au cha mchana bali ni cha usiku!, hivyo hapa mimi nazungumzia kile 'chakula cha usiku!'!, na ndio maana mialiko mingi ya chakula cha usiku hutanguliwa na kualikwa dinner au kutolewa out!.

Kwa leo nawatakia Kwaresma njema.

Paskali
mongolian rice
 
Wanabodi,

Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobbies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.

Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu vizuri.

Paskali
Leo nilipita bandiko hili nikambuka Le Mutuz, tunafanana hii hobby ya kupenda travelling and feasting on tasty delicious meals!.
RiP Le Mutuz!.
P
 
Huu uzi haumaanishi vyakula vya kuliwa na kinywa (japo kinywa kinaweza kutumika kama nyezo moja ya ulaji wa vyakula hivi kama kunogesha) tofauti na watu wanavyofunguka kuhusu ubwabwa wao na nyama.

Anyways mimi binafsi niseme ni mpenzi hasa wa kuonja 'chakula' cha kila sehemu niendapo.
Na kuna sehemu kadhaa tumefanana katika uonjaji hasa south Africa (Xhosa, Zulu, Bushmen, Afrikaners), Malawi (Chewas), Zimbabwe (Shona, huku nilinogewa mpaka kuchukua mpishi mazima mpaka leo).

Kuna experience fulani ya tofauti unayoipata katika kila 'chakula' cha sehemu tofauti tofauti.
 
Wana njia zao za kukukirimu. Hizi unapaswa uzijue na kuzianza mapema. Jina lako si rafiki sana kuweza kupata ukarimu wao kuweza kukulisha.
True, kule wameshika sana dini, halafu wapishi wa kipemba hawapendi kukirimu wageni Wagalatia!, kiukweli kuna watu tuna dhambi!, mkisikia tunaadhibiwa!, acheni tuu tuadhibiwe!, mtu unadanganya jina ili tuu uonjeshwe!, na unadanganya kuwa ukipendezewa, eti uko tayari kusilimu!, mtu hadi unavaa kanzu na baraghashia ili tuu ukirimiwe, ukaribishwe chakula!.
P
 
Vyakula vya kichina - hivi nimekula kwa miaka mingi, jamaa wana mapishi lukuki na misosi yao ni mitamu haswa (miaka ya nyuma nishawahi weka uzi) cc Mshana Jr, kuna jamii ya Wachina wanatokea jimbo la Xinjiang kaskazini magharibi mwa Uchina, wana aina moja ya msosi unakuwa ni mchanyato wa kuku kaanga na viazi kaanga ndani ya mchuzi mzito wa viungo (Da pan ji), hatari sana hiki kisinia....

Vyakula vya kihindi/kipakistan - majina siyajui lakini miaka ya nyuma nimekula sana haswa nikiwa Hong Kong, vingi ya vyakula vyao vina mahadhi ya kipwani, viungo, michuzi michuzi yenye vikorombwezo haswa...

Vyakula vya Kiindonesia - Huko huko uchina katika kusaka misosi yenye mahadhi ya Kiafrika, nikaangukia kwenye mgahawa wa hawa mabwana, kuna kuku fulani shatashata wa mchuzi wenye nazi nzitoooo...hatari sana!

Vyakula vya kipopo (Naija) - Hawa jamaa nao wana vyakula vya michuzi mingi yenye mafuta na pilipili, lakini wana wali wao mmoja mtamu huo unaitwa 'jollof rice', hii upate iliyotiwa pilipili na pande la kuku...noma sana...
Sidhani kama anamaanisha vyakula hivyo huyi Paskali
 
Back
Top Bottom