Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Mimi Wala huwa siblock mtu, ila huwa nafanya kitu kinaitwa " ghosting"
Yaani naachana na wewe kimya kimya kimya ukinipigia simu nakausha tu sipokea.
WhatsApp nakubluetick, message nasoma ila sireply
 
Hahaaaa una Hatari Sana.
bwana usinichekeshe mi sitaki i cant believ
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mimi Wala huwa siblock mtu, ila huwa nafanya kitu kinaitwa " ghosting"
Yaani naachana na wewe kimya kimya kimya ukinipigia simu nakausha tu sipokea.
WhatsApp nakubluetick, message nasoma ila sireply
hiyo ni psychological torture 🤣

mpaka aje mwenyewe physically muyamalize right?🐒
 
Nimeshawahi kumblock dada mmoja miaka mitatu iliyopita....
Mimi nilimega kisela yeye akawa analeta za kugandana......Hadi Leo hii Sina mawasiliano nae!!
ila yupo kwenye blocklist yako mpaka saivi au blocklist hua zinafutika baada ya muda?
 
Acheni kujifanya wajuaji.. kuna sababu nyingi mtu hadi akaamua kublock watu
Yes zipo sababu nyingi but kublock au kuignore ni sawa na kumuhifadhi mtu ambae utamuhitaji next time, kwasabb bado atakuwepo kwenye kifaa cha mawasiliano yako 🐒

at least deleting completely 🐒

hiyo staki nataka ni kuhifadhi stress tu kwenye kifaa cha mawasiliano maana one day unaweza jikuta unaingia blocklist au ignore list ukaamsha gubu upyaaa baada ya umuona mbaya wako 🐒
 
Mimi nimepigwa block na Malisa kule twitter na hata sijui kosa langu nini
actually tabia za watu wenye,
short temperz na wenye perfection sense huwa hawapendi kuwa challenged hata kidogo 🐒

wala hawataki usumbufu wala ubishi 🐒
 
Back
Top Bottom