Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?

Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi, kibiashara, hoja za kisiasa au kijamii, ubishi au msimamo wake kuhusu Jambo fulani n.k

Na Je, hiyo imekusaidia au kukufaidisha chochote, au imekupunguzia au kukuongezea nini kwa mfano ๐Ÿ’

Kumuhifadhi mtu kwenye blockedlist au ignore list, si ni sawa tu na kuendelea kuhifadhi chuki binafsi moyoni mwako na kujiongezea stress za zaidi?

Hivi kublock au kuignore si ni sawa na kuhifadhi kitu kibaya mahali pazuri, ambapo kuna siku unaweza uchungulie na kurestore ile chuki yako dhidi yake upya?

I think kudelete inaweza saidia kidogo, anyway ulimblock nani, rafiki mchonganishi , mpenzi muongo, mdeni wako, msaliti wako, msumbufu wako, mbishi wako n.k
Kunamchepuko mmoja mtu mzima sana na anapenda ngono muda wote.
 
Back
Top Bottom