Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Embu nikachungulie niliowablock kwanza wengi wale was kampuni za kukopesha mtandaonii
angalau wew una sababu ya msingi 🤣

ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu 🐒
 
Au mtu mwingine unamwambia ikifika saa nne usiku usinipigie simu nakuwa na mke wangu, lakini yeye ndio unakuwa kama umemwagiza anapiga tu anatwanga tu tu tu.

Sasa dawa yake ikifika saa nne hata huongei sana, unamtia lockup unakuja kumwachia saa mbili asubuhi.
 
Hivi mnajikutaga kina nani😃😃.. Mara wanao weka status hawana akili nzuri mara kublockiana ujinga heee, mnataka tufanyaje sasa nyie malaika wa Jf eti🤔😑??? Maana kila kitu mnasema tabia za kike mara machoko mara sijui nini acheni hizo,
Mtu akizingua anablockiwa tu, na sijawahi kumunblock mtu niliyemblock
Duh kumbe una hasira hivi
 
angalau wew una sababu ya msingi 🤣

ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu 🐒
Na jamaa wa namba nyingi walee dakeii zao lkn nna wiki Kama mbili hawajanitafuta hata Kama wananitafuta Kasi imepungua
 
Nyie mnaosema kublock mtu ni tabia za kike ndo amjielewi kwaiyo mlitaka mtu akubaliane na Kila kitu tu ata vya kipuuzi wakati unauwezo Wa kuvifanya visikufikie
 
Mtu akikera unamblock chap kwa haraka. Block list yangu Ina watu wengi sana hasa ya WhatsApp 😂😂.
sasa dah 🤣🤣

ukichungulia hiyo blocklist si tena unaamsha kilichokusababisha ukawablock 🐒
 
hizo kabati za block na ignore list si bado zinakuepo tu kwenye kifaa chako cha mawasilino na kuna siku unaweza chungulia ukamuona ulomblock au kumuignore na akarestore upya kilichofanya ukamblock?
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
 
ya kufuta kabisa inakuweka huru zaid kuliko block na ignore 🐒
 
Au mtu mwingine unamwambia ikifika saa nne usiku usinipigie simu nakuwa na mke wangu, lakini yeye ndio unakuwa kama umemwagiza anapiga tu anatwanga tu tu tu.

Sasa dawa yake ikifika saa nne hata huongei sana, unamtia lockup unakuja kumwachia saa mbili asubuhi.
hizi ndio hoja na sababu za msingi za kublock. Na inawezekana hii ni miongoni mwa sababu za kuwekwa sehemu ya kublock....

kwa muda fulani nakublock halafu nakuachia ktkt muda mwingine 🐒
 
Hivi mnajikutaga kina nani😃😃.. Mara wanao weka status hawana akili nzuri mara kublockiana ujinga heee, mnataka tufanyaje sasa nyie malaika wa Jf eti🤔😑??? Maana kila kitu mnasema tabia za kike mara machoko mara sijui nini acheni hizo,
Mtu akizingua anablockiwa tu, na sijawahi kumunblock mtu niliyemblock
Hizi mambo tabia za kike, tabia za kichoko nk ni ujinga tu.

Sasa kumblock mtu na uchoko vinaingilina vipi??
Block button ni kwa ajili ya ke pekee??.

Kuna watu wanakutumia matangazo non stop, ambayo wala hayakuhusu wala huna uhitaji nayo, hao unablock, hao hata ukifuta namba zao unakua hujatatua tatizo.
 
Back
Top Bottom