Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe una hasira hiviHivi mnajikutaga kina nani😃😃.. Mara wanao weka status hawana akili nzuri mara kublockiana ujinga heee, mnataka tufanyaje sasa nyie malaika wa Jf eti🤔😑??? Maana kila kitu mnasema tabia za kike mara machoko mara sijui nini acheni hizo,
Mtu akizingua anablockiwa tu, na sijawahi kumunblock mtu niliyemblock
Na jamaa wa namba nyingi walee dakeii zao lkn nna wiki Kama mbili hawajanitafuta hata Kama wananitafuta Kasi imepunguaangalau wew una sababu ya msingi 🤣
ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu 🐒
angalau wew una sababu ya msingi 🤣
ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu 🐒
Mtu akikera unamblock chap kwa haraka. Block list yangu Ina watu wengi sana hasa ya WhatsApp 😂😂.nami najaribu kutafakari vizuri nielewe why 🐒
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.hizo kabati za block na ignore list si bado zinakuepo tu kwenye kifaa chako cha mawasilino na kuna siku unaweza chungulia ukamuona ulomblock au kumuignore na akarestore upya kilichofanya ukamblock?
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
ya kufuta kabisa inakuweka huru zaid kuliko block na ignore 🐒Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
Ukifuta bila kublock bado anaweza kukutafuta na kukusumbua, block then futa.ya kufuta kabisa inakuweka huru zaid kuliko block na ignore 🐒
hizi ndio hoja na sababu za msingi za kublock. Na inawezekana hii ni miongoni mwa sababu za kuwekwa sehemu ya kublock....Au mtu mwingine unamwambia ikifika saa nne usiku usinipigie simu nakuwa na mke wangu, lakini yeye ndio unakuwa kama umemwagiza anapiga tu anatwanga tu tu tu.
Sasa dawa yake ikifika saa nne hata huongei sana, unamtia lockup unakuja kumwachia saa mbili asubuhi.
Hizi mambo tabia za kike, tabia za kichoko nk ni ujinga tu.Hivi mnajikutaga kina nani😃😃.. Mara wanao weka status hawana akili nzuri mara kublockiana ujinga heee, mnataka tufanyaje sasa nyie malaika wa Jf eti🤔😑??? Maana kila kitu mnasema tabia za kike mara machoko mara sijui nini acheni hizo,
Mtu akizingua anablockiwa tu, na sijawahi kumunblock mtu niliyemblock
🤠🤠🤠🤠🤠🤠!
Ushani block sana tu... Hahahaha🤠🤠🤠🤠🤠🤠!
True love comes with jealous in it. Si ya kucheka walai 🤣🤣🤣🤣🤣🤭!