Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Block unblock block unblock block unblock.Ushani block sana tu... Hahahaha
Hii series yetu hiii ๐๐ค ๐ค ๐ค ๐ค !
( Kinukta ๐คฃ)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Block unblock block unblock block unblock.Ushani block sana tu... Hahahaha
mimi napenda sana kuchat nipe namba zake.Kuna kadada flani ivi nilikablock sababu ya usumbufu Whatsapp hata kuchat hakajui nikaona isiwe tabu
Kwa bahati mbaya nilizifutamimi napenda sana kuchat nipe namba zake.
Hapana mkuu na siangaliagi ile listsasa si baadae unachungulia huko blocklist utamuona msumbufu wako na kwahivyo kisaikolijia bado atakusumbua ๐
Mzigua90 what the hell is this? ๐Mtu akikera unamblock chap kwa haraka. Block list yangu Ina watu wengi sana hasa ya WhatsApp ๐๐.
Kunamchepuko mmoja mtu mzima sana na anapenda ngono muda wote.Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi, kibiashara, hoja za kisiasa au kijamii, ubishi au msimamo wake kuhusu Jambo fulani n.k
Na Je, hiyo imekusaidia au kukufaidisha chochote, au imekupunguzia au kukuongezea nini kwa mfano ๐
Kumuhifadhi mtu kwenye blockedlist au ignore list, si ni sawa tu na kuendelea kuhifadhi chuki binafsi moyoni mwako na kujiongezea stress za zaidi?
Hivi kublock au kuignore si ni sawa na kuhifadhi kitu kibaya mahali pazuri, ambapo kuna siku unaweza uchungulie na kurestore ile chuki yako dhidi yake upya?
I think kudelete inaweza saidia kidogo, anyway ulimblock nani, rafiki mchonganishi , mpenzi muongo, mdeni wako, msaliti wako, msumbufu wako, mbishi wako n.k