Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

OKWI we ni noma nimecheka sana
 
Laki nne per night?
 
Hiki ndio kinanifanya nikienda mgahawa wa watu lazima niulize bei kabla ya kuagiza.
I am never driven by surrounding people
 
Gily umetisha sana
 
😅😅😅😅
 
Ila mademu nao bwana. Acha tu waendelee kuwa single mothers.yaani anafanya birthday party ana kodi na Ukumbi huku akijua hana uwezo?
 
Yaani watu wanajua ku underate watu. Kuna siku nilienda kwenye duka moja kubwa wnauza kila aina ya bithaa. Nilienda bila gari, daladala zinashusha hapo mbele ya hiyo supermaket. Wale wa dada waliniona wakati na shuka. Wakanipigia hesabu labda nimekuja kutembea mule. Kufika wakaja vijana ambao niliongea nao kabla, wakanipandisha kwenye furniture na vifaa vya umeme. Nilinunua bidhaa za 15m, kutoka pale wale wadada wanashangaa. Sasa hivi nikienda wananichangamkia balaa. Wa bongo shida sana.
 
Mwangu ulipata mke Daktari moja kwa moja? Ningekushangaa kama usingemuoa.

Wanaume wa kwel8 hatuhitaji Mke mwenye sifa nyingi moja tu inatosha kuchukua jiko.
 
Fanya kazi upate maendeleo acha kupoteza muda kwa wanawake.
 
Chai
 
Ukifatilia huu uzi mwanzo mwisho unaweza kusema vijana wa Tanzania wana kipato kizuri sana ila shida ni mbususu zinawalia pesa sana.
 
Sasa hapo mjanja nani, mjinga nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…