Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Kwa uwezo wako wa fikra ni chai


Chai nilioweka hapo nikuongea kwa mafumbo tu

Hakuna chai

Au hizo namba za milioni zinakuvuruga?[emoji79]
Mbavu zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23]eti namba za million[emoji16]
 
Kama ni mume wa mtu unaanzaje kwenda kunyoa kwa hizo saloon?
IMG-20230204-WA0012.jpg
 
Mimi na mshikaji wangu tulikuwa na tabia ya kuopoa totoz za chuo kila weekend tunaenda kula bata.

Siku moja tupo kiwanja, wakajipendekeza marafiki wa mademu zetu na wao walikuwa kiwanja hicho, na walikuwa pisi kali kwelikweli, tukaona ngoja tuweke heshima ili na wao tuwaburuze kimasihara...

Tulitumia sana.. tukachukua usafiri kuwarudisha, muda wa kulipa nauli ndio mshikaji wangu alipoharibu hali ya hewa..

Alijisachi akapata mshituko akasema kwa nguvu MUNGU wangu nimekula hela ya kodi sijui nitamueleza nini yule mzee, wale mademu wakabaki wanashangaa.

Heshima ikawa fedheha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Kwa nguvu sana aisee
 
Mimi miaka kama 10 iliyopita nilitumwa dawa za 250,000/= za famasi, duka wamefunga nikawaambia home dawa hadi kesho wakasema hela nikae nayo hadi kesho, jioni saa moja nimeenda Bar ya kibosi kuangalia mpira Wa arsenal,Ghafla nakuta warembo wawili wabishi watoto wa mjini na jezi zao za the Gunners,tunafahamiana nikasema usinitanie,zikaanza gambe pombe na Ng'ombe,kabla dakika 90 hela imeisha..hah hata hela ya bodaboda sina,,nikatembea ki Bob marley..nikazima simu siku mbili ili home wasinisumbue...tangu hapo sijwahi kutumwa dawa...
Hatari sana 😂😂😂😂😂
 
Okay mwaka fulan nimeenda kule kariakoo nimefanya biashara na mshikaji mmoja nikapata kama 2.8m, million 2 nikadeposit bank, nikapita msimbazi pale meridian nikakandamiza mkeka wa laki mbili odd ya 10, nikabaki na laki sita, sijakaa vizuri jamaa kanipigia simu njoo 5N nipo na kina lisa na huyo lisa nilikuwa namuwinda kweli nikaenda pale nikakuta kama wanasua sua, shusha sana monde, tukahamia samaki samaki ya mliman kula sana magae, laki sita nlikuwa nimeifunga kwenye rubber band na rubber band ilikuwa imekaza, nachokumbuka ni kwamba kuna muda niliingiza mkono mfukoni nikakuta ma rubber band yamepwaya yan ela zipo kivyake rubber band zipo kivyake daah noma sana, kuja kuhesabu pesa imebaki 185000 mida mibovu nna laki kamili roho ilikuwa inauma kilichofanya isiume sana nilikula ule mkeka bila vile ningetukana sana matusi aisee...
 
Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Kuna mdogo wangu alitumia 21,000 nzima, maana yeye kila alichoambiwa alikubali akijua ni bure.
 
Tena yale manguo ni bei mbaya,Bora ya suruali na brauzi ukiwa na 20 ukienda karume unapata na viatu,

Tuna sehemu za kujiachia

Hahahahaha nimekua Sasa ubishoo nimeacha,
Hapo Zamani Nalikua na Utaratibu Nikikutana na Mwanamke amevaa hayo Majuba yenu nakomaa nae hata iwe kavaa kininja nalikua Nacheza Bahati Nasibu, Na kwa Bahati Iliyo njema sijawahi Kukutana na mbaya [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom