AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Kwa uwezo wako wa fikra ni chaiC
Chai
Chai nilioweka hapo nikuongea kwa mafumbo tu
Hakuna chai
Au hizo namba za milioni zinakuvuruga?🙀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uwezo wako wa fikra ni chaiC
Chai
Muda ukipatikana ntashusha mbili tuangalie na zingineMkuu shusha nondo, hizi stories napenda sana
The goal is to be rich not to look rich.
Roho imeniuma sana nimezoea kunyoa 2,500/-Halaf karoho kakauma
Wamekuja na vitambaa vyeupe vina maji maji ya moto wakaanza kunikandakanda uso!Ukiingia pisi zinaanza kukushika shika mabega na shingo. Lazima ulegee
Roho imeniuma sana nimezoea kunyoa 2,500/-
Kama ni mume wa mtu unaanzaje kwenda kunyoa kwa hizo saloon?Ukiingia pisi zinaanza kukushika shika mabega na shingo. Lazima ulegee
Mbavu zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23]eti namba za million[emoji16]Kwa uwezo wako wa fikra ni chai
Chai nilioweka hapo nikuongea kwa mafumbo tu
Hakuna chai
Au hizo namba za milioni zinakuvuruga?[emoji79]
Kwa hiyo mume wa mtu hastahili raha?Kama ni mume wa mtu unaanzaje kwenda kunyoa kwa hizo saloon?
Kama ni mume wa mtu unaanzaje kwenda kunyoa kwa hizo saloon?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Kwa nguvu sana aiseeMimi na mshikaji wangu tulikuwa na tabia ya kuopoa totoz za chuo kila weekend tunaenda kula bata.
Siku moja tupo kiwanja, wakajipendekeza marafiki wa mademu zetu na wao walikuwa kiwanja hicho, na walikuwa pisi kali kwelikweli, tukaona ngoja tuweke heshima ili na wao tuwaburuze kimasihara...
Tulitumia sana.. tukachukua usafiri kuwarudisha, muda wa kulipa nauli ndio mshikaji wangu alipoharibu hali ya hewa..
Alijisachi akapata mshituko akasema kwa nguvu MUNGU wangu nimekula hela ya kodi sijui nitamueleza nini yule mzee, wale mademu wakabaki wanashangaa.
Heshima ikawa fedheha
Hatari sana 😂😂😂😂😂Mimi miaka kama 10 iliyopita nilitumwa dawa za 250,000/= za famasi, duka wamefunga nikawaambia home dawa hadi kesho wakasema hela nikae nayo hadi kesho, jioni saa moja nimeenda Bar ya kibosi kuangalia mpira Wa arsenal,Ghafla nakuta warembo wawili wabishi watoto wa mjini na jezi zao za the Gunners,tunafahamiana nikasema usinitanie,zikaanza gambe pombe na Ng'ombe,kabla dakika 90 hela imeisha..hah hata hela ya bodaboda sina,,nikatembea ki Bob marley..nikazima simu siku mbili ili home wasinisumbue...tangu hapo sijwahi kutumwa dawa...
Niliwahi kuwa mwalimu wa lesoni 2008-2009, 2015HUwa naiwahi sana chief..halfu leo nilikua na forester ya jamaa mmoja kwahyo nilikua nayo kuvimbia kidogo
IrrelevantMwafrika ukiwa na gorofa lakini unatembelea baiskeli ajili ya mazoezi basi we ni maskini
Ila umepanga lakini unatembelea gari hata ya kukodi basi we tajiri
Pumbavu sana
Kuna mdogo wangu alitumia 21,000 nzima, maana yeye kila alichoambiwa alikubali akijua ni bure.Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Hapo Zamani Nalikua na Utaratibu Nikikutana na Mwanamke amevaa hayo Majuba yenu nakomaa nae hata iwe kavaa kininja nalikua Nacheza Bahati Nasibu, Na kwa Bahati Iliyo njema sijawahi Kukutana na mbaya [emoji3][emoji3]Tena yale manguo ni bei mbaya,Bora ya suruali na brauzi ukiwa na 20 ukienda karume unapata na viatu,
Tuna sehemu za kujiachia
Hahahahaha nimekua Sasa ubishoo nimeacha,