Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂Dah mlitisha Sana mabaharia 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Dah mlitisha Sana mabaharia 😁😁
Mie sijali wallah,Sina mapenzi ya mshumaa mie hahahahaha,tena nikiendaga hata sokoni sinunui vitu kwa mafungu,Unaambiwa msosi buku 10, unaamua kuondoka. Fikiria watu wanakuchora umeondoka kwa sababu umeshindwa gharama. Daaah noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii thread tuoneeni huruma mbavu zetuYule demu aliponipa mzigo tako tatu wadhungu hao. Nikasingizia sijala ngoja nile nimpe show za WWE John cena you can't see mee. Nikala chips ndizi mishikaki. Nikampq romance kupima oil naona huyu kashaiva nikachomeka kupiga take tatu wajapan hao. Nikaona sasa hapa mbona kazi sana. Nikaona ngoja nizuge zuge kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV. .
Alipoamka nikaona nitumie nafasi hii kumuonyesha show ya kibabe. Kupiga tako nyingine tani aisee wazee hawajakosea siku ya kufa nyani kweli miti yote huteleza. Kupiga tako nikajikaza yani kufika tako ya tano tu tena nimejikaza nikawa na uma na meno wahindi haoo. Aisee what an embarrassing day.
Kurudi kwenye mada, ili kurudisha heshima nikamuliza demu hivi unaishi wapi? Akajibu magomeni nimepanga chumba elfu 70. Nikaanza kujiongelesha hapa inabidi upange sinza chumba laki na hamsini. Nataka nikukipie kodi ya miezi kumi. Kwanza kabla sijasahau shika hii laki. Ukifika nyumbani nakutumia hela nyingine ununue vitu vya nyumbani hiyo laki ni nauli tu. Hata samsung unayotumia sio simu ya maana nakununulia iphone.
Alipoondoka na laki yangu nikatupa line nikasajili line nyingine kwa mpita njia. Huyu dada tulikutana kwenye mwendokasi. Hata mwendokasi sipandi tena nawasiwasi naweza kukutana nae huko [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mie nimejiwekea ka utaratibu kakuuliza bei Kwanza sikurupuki aisee,
Nilijichanganyaga siku moja nilikuwa na wenge,
Nilikuwaga Safari nikanunua korosho nilitoa buku ten,akanirudishia buku moja,nikatulia Kwanza nikajua kafuata chenji,. Nikatulia kwenye benchi nikaona kimya hatokei,nikamfuata nikamuuliza hizi ni buku Tisa?? Akasema ndio
Nikamwambia hatukuelewena nahitaji za buku,hahahaha nashukuru alinielewa akanirudishia pesa yangu,
Japo niliumia pia hizo za buku hata kumi hazikufika,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimewahi fanya hivyo mwakajuzi mkoa fulani. hivi aisee niliteseka sana maana pesa ilikata sasa inabid niingie madeni kuwapigia watu kuwakopa pesa lakini heshima ili wepo ..Hadi boss ile hotel alibeba namba yangu ,alijua ninampango sana kumbe mim msajiri tu laini za watu.[emoji1787]
Sisi tubaki tu hapa kucheka na mambo zaoMwee sisi wengine hatuna hata hizo pesa za kuonesha jeuri na hata ningekuwa nazo ya nini kuingia gharama ambayo unajua itakuuma kisa kuweka heshima tu
2016 nikiwa mtumishi wa taasisi fulani hivi,ilitokea tu nikawa sina smartphone,sasa kijiweni ninaposhinda nikawa nagongea simu,kuingia jf,twitter insta nk,mpaka kubeti.
Siku moja nadhani mwenye simu alifikwa hapa(waswahili wanasema)akaropoka[emoji28][emoji28].
Aisee wewe ni mtumishi smart imekushindaje bana??daily unagongea simu yangu inachemka[emoji28],aisee wengine njia ya kupokea taarifa mbaya za ghafla huwa tuna tabasamu.
Kinyoonge asishtuke kama nimekwazika,nikamwambia tulia namalizia ishu moja,nakupa.
Kesho yake ilibidi nivunje kibubu kwa hasira kwa mara ya kwanza nikaenda kujitwisha iphone ya kwanza kutoka shop(iphone 6plus) ikiwa bado inafuka moshi kipindi hicho 1.6mln.asubuhi nafika pale anashangaa nina simu yenye bei mara 5 ya kwake,akatoa macho tu na kuanza kujaribisha camera.
Binaadam wanatia hasira lakini tunawashukuru maana wamefanya wakati mwingine kwa kauli zao,tuondoke kwenye comfort zone zinazotulemaza.
2016 ulinunua iphone 6 plus 1.6? Iphone 6 plus 3016 ulikua unazipata hadi kwa 500k.
Kuna jamaa anakujaga na baiskeli ofisini kila mtu huwa anamshangaa. Kuna siku bosi akamdis kama utani..Ifike wakati vijana wangu muwe na magari ya kuanzia 15m na mwenye baiskeli ajiangalie....Mwafrika ukiwa na gorofa lakini unatembelea baiskeli ajili ya mazoezi basi we ni maskini
Ila umepanga lakini unatembelea gari hata ya kukodi basi we tajiri
Pumbavu sana
Acha uongoo mzee...!! Umuch know sana nao tatizo hilooo...2016 ulinunua iphone 6 plus 1.6? Iphone 6 plus 3016 ulikua unazipata hadi kwa 500k.
Hii thread tuoneeni huruma mbavu zetu
kutoa pesa ili nijimwambafy sinaga hiyo hulka mi kiboko yangu ilikuwaga pombe, ikishakaa kichwani naweza kusanya watoto mtaa mzima nikawanunulia juisi, baa nakaa kaunta namnunulia bia mtu yeyote atakaeongea na mimi kwa furaha hata kama simjui, laki 2 inaisha kimaskhara asubuhi naamka na hangover sina hata mia mbovu. Nikaona huku kurogwa huku saivi sitaki hata kuiskia pombe
Halaf karoho kakaumaJana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Ukiingia pisi zinaanza kukushika shika mabega na shingo. Lazima ulegeeJana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.