Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Mkasa upo hapo juu nilirudisha korosho baada ya kujua ni buku ten zinauzwa,nilijua ni buku[emoji16]

Sina pesa sina hela sina falanga sina mapene,nimecharara mbaya hapa nawaza buku nijiunge bando au nikanunue mihogo ninywe uji.
Tubataka story yako uliyojimwambafai bhana....
 
😅😅😅😅kumbe ukiwa na hela demu yeyote unamla muda wowote
 
Daah mpunga wako 350k ulienda bure! Sema mademu wa hivyo ni wale waswahili sana wanasema ngoja tumkomeshe huyu fala
 
Dah nakumbuku ilikuwa kibondo hiyo nipo na wanangu kama wanne iv na mimi watano tulikuwa tunacheki game ya simba na yanga kwenye bar moja iv ya wanajeshi sasa mimi na crew yangu huwa tukikaa sehem tunapendelea kunywa sana spirits hasa k vant sio kwamba pesa hamna pesa ipo sana tu ila ni pombe ambayo tulitokea kuipenda sana! Sasa wakat tumekaa tunaendelea kucheki game maana crew yetu wote ni yanga na tulikuwa tunakunywa k vant kubwa tuna share wote watano mbele yetu kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa serengeti light yeye alikuwa ni mshabiki wa simba


Sasa kwenye utani na kushangilia jamaa akawa kama anatumind iv mixer dharau nyingi mara jamaa akaropoka “ nyie vipi nyie kwanza mnakujaje sehem kama hizi kundi alafu mnakunywa k vant moja watu 5 mnajaza nafasi tu pisheni watu wenye pesa zao wakae hapo” dah haya maneno tulivyoyasikia tukaangaliana kwanza alafu tukacheka mimi nikasema ngoja nimuoneshe huyu jamaa kwamba sio kila anae kaa sehem nzuri akanywa kitu cha bei ndogo sio kwamba hana hela ni maamuzi tu!


Basi nikamwita mhudumu nikaongea kwa nguvu nikamwambia mpe huyo jamaa shabiki wa simba creti la bia anayo kunywa alafu mwambie shabiki wa yanga anae kunywa k vant amekununulia! Kweli jamaa akapewa creti na akaambiwa kuwa limetoka pale jamaa akawaka hamna pesa ya kuninunulia bia nyie akamwambia mhudumu rudisha nitanunua kwa pesa yangu kweli akatoa pesa nikarudishiwa hela yangu ya creti moja mara jamaa yangu mwingine na yeye akasema mpelekee creti jingine mhudumu akapeleka jamaa wa simba akajifanya kuvimba aka punch tena akasema pesa ninayo na nunua mwenyewe tukarudishiwa tena pesa yetu kwaiyo jamaa wa simba akawa amenunua creti 2 za bia bila kupenda kisa sifa mbele za watu! Mpira ukaisha tukawa tunaanza kusepa tupo tunaelekea parking mara ghafla tunaona jamaa anakuja kwa upole eti tukamuombee kaunta wamrudishie japo pesa ya creti moja sabab creti mbili hawezi kunywa zote tukacheka sana tukamwambia we komaa tu mzee tukamuacha pale jamaa anatia huruma sana sifa zimemponza


Meneja wa bar alikuwa captain alimwambia bia tumeshauza pesa haiwezi kurudi [emoji28][emoji28]
 
Mzee mwenzangu unaweza kuomba bank wakuongezee kiwango ila unatoa kwa mafungu haitoki mara moja.
Mzee mwenzangu, kwanini niwaombe wakati hela ni yangu? Hili libank langu kwa ATM mwisho ni 1.2m kwa siku.

Dawa ni kulihama tu

Unaweza kupishana na bahati mjini....
 
Ahaaaaaa mbavu zangu, lakini ulivyofika nai so mambo yalikuwa super?
 
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],una roho ngumu
Haya Maisha bila kujitoa ufahamu na kujikana hayaendi vile unataka, Mmoja katika hao nilidumu Nae katika mahusiano almost miaka miwili, Huyu ilikua Morogoro mjini miaka ya 2013 isivyo bahati Nilipoondoka Morogoro na Mahusiano yakafa. Natamani Nimtaje hata Jina ila Sitaweza. Siku Namuona Kavaa Kininja Full nikasema hapa Lazima nione yaliyomo ndani. Alikua mzuri wa Umbo na Tabia. Sijui alinipendea nini yule dada, ama ujasiri wangu wa kukomaa na nisichokiona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkasa upo hapo juu nilirudisha korosho baada ya kujua ni buku ten zinauzwa,nilijua ni buku[emoji16]

Sina pesa sina hela sina falanga sina mapene,nimecharara mbaya hapa nawaza buku nijiunge bando au nikanunue mihogo ninywe uji.
Tangu useme unavaa Majuba umeshanichanganya, hapa Nataka nikushauri ununue bando ili Niendelee kukuona online wakati Kula ni Muhimu kwa mwanadamu... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji41][emoji41][emoji125][emoji125] Ngoja Ni log out. Ninakoelekea kubaya.
 
Mkuu Sisi wanywa maji bar huwa tunadharaulika Sana. Last year November nilikuwa Kasulu same story like yours lakini Mimi siku wanunulia wao nilienda na watoto wangu niliwanunulia kuku kila mmoja na kuku wake. Ingawa ziliwashinda maana kuku za Kiswahili nyama zao ngumu Sana na watoto wenyewe walikuwa wanakula ki sister duu.

Kesho Yake ndio ikawa mechi ya yanga na club Africain. Walinipokea Kwa heshima licha ya kuwa nilinunua maji Tu.

Maeneoo ya Kwa ndituye pale Kasulu mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…