Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Ha ha ha ha ha Dah nmecheka sana JF Inavituko sana aiseee
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Ila sio mbaya ulifanikisha msaada mkubwa
 
Ulifanya ufala sana
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanin takotatu tu?nguvu huna
 
Nilifika kwenye bar mojaa kijiweni 2022 mwanzoni

Kufika kutoa salamu kwa jirani zangu hawakuniitikia salamu kutokana na kuonekana mlugaluga tu

Sasa nilienda na bodaboda sikuhiyo

Nikala msosi wa 4,000 kwa kutoa 2000 mfuko wa nyuma na iliobaki mfuko wa mbele


Wadau na warembo wananiangalia marakwa mara nikitabasamu wananicheka kuona sio level zao


Kilichofuata

Kesho yake jumapili nikawakuta wanakunywa kijiwe kile kile


Kwanza kutokana na gari kuwa gerage, fundi alinipa gari nyingine nitumie kama siku tatu,

Kufika bar kwanza kuanzia mbali wanaangalia nani atakaeshuka


Nikashuka kilugaluga kama kawaida

Nikakaa karibu yao ,


NILIPEWA SALAMU NA WAO , wahudumu wakawa wanapishana kwangu ,


ILI KULINDA HESHIMA NISIONEKANE NABAHATISHA NIKATOA OFA KWA WAHUDUMU WANNE BIA 20 , kitimoto kilo 3

na wadau wangu walipokuja nikanunua hia meza za jirani walioonesha dharau


Nilichafua meza zote za karibu pale


Nilinunua bia zaidi ya 70


Nilispend karibu 360,000 wakati ni hela ya fundi na nilikuw na matatizo ya cash wiki hio,nikajitoa ufahamu tu


Baada ya hapo boss wangu akaja nae kuunga mkono juhudi

Bos wangu alimwaga bia na rafiki zake. Bill ikafika 680,000 zaidi


Jumla ya bill tulilipa mil 1.3 plus hadi kunakucha



Baada ya hapo NASHANGAA BAADHI YA WAHUDUMU NA KUNDI LA WANYWAJI WALIOKUW WANADHARAU VIJANA NIKIKUTANA NAO WANANIAMKIA


MTU MNARINGANA UMRI ANAKUAMKIA SERIOUS????????



Dharau ni mbaya sana, zitakuaibisha siku moja, nimekutana na mikasa kedekede na uzuri mimi ni raia wa wakawaida kwahiyo sioni taabu kuchukuliwa poa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiswe yani nimecheka hadi basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Du huo mshtuko was real
 
Saivi unapanda nini maharage au mahindi 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…