Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23] wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una tabia Kama ya jamaa fulani
Huwa nakunywa chai sehemu 1500-2000 kwa Kikombe

Ila wakati wa kulipa lazima atoe bundle la 1m achomoe 10,000 ndo alipe
Sijui huwa anamaanisha nini
Kuna mpangaji wetu alikuwaga na tabia hiyo sifa,pesa ya umeme ni 5000 lkn analitoa bunda la pesa anachomoa 5000 tu_tena anakuitia mlangoni kwake, au analiweka mezani uzione[emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengi hufanya hivyo ili kutaka sifa na kupatia mademu
 
Kudadadeki..[emoji23][emoji23]

Siku hiyo nimeweka mkeka wa tsh 1000 nikambabua kanjibahi 480k, balaaa lake ule usiku sasa..
Nikamuita mwanangu mmoja pale Rainbow njia panda ya area D, alafu kuna pisi moja matata ikakatiza mbele yangu, nikaaita then nikawaitia muhudumu wa masanga na msosi nikamwambia wasikilize hawa! Baada ya yote nikaiambia ile pisi hauna mwaenzako mzuri kama wewe umwambie aje hapa? Akasema akampigia mimi hapo nikawa nimeshajimikilisha hii pisi hiyo iliyoitwa iwe pisi ya mwana ili nae asikae kinyonge..
Pisi iliyoitwa ikatimba ila ikawa ni kali zaidi ya ilotangulia, mzee mzima tamaa ikanijaa na nnae kibunda cha kanji, nikaona yes naweza kuhamisha mlima. Kwenye harakati za kuhamisha mlima pisi ilotangulia ikamind sana ikatema shit za kutosha then ikambeba shost ake wahame kiwanja.
Baada ya mimi kuona nimeharibu nikalipa bills ili na sisi tuhame pale. Ile tunatoka nje na mwaangu nikakuta zile pisi zinapatanisha boda boda ili zing'oe! Basi mimi kwa jeuri na kujiamini kwa kibunda cha kanjibahi nikawafata nikawaambia wadada wazuri kama nyie hampaswi kuoada bodaboda, nikamuuliza dereva wanataka kwenda wapi hawa? Jamaa akaniambia The Bisto! Nikuuliza nauli sh ngapi? Jamaa akasema elfu 7, Mi nikatoka 10k nikamgea yule boda nikamwambia achana na mademu endelea na abiria wengine hawa tubaondoka nao sisi, jamaa kiroho sayona akapita hivi! Mi nikatafuta Bolt pale chaap tukaruka mpakaThe Bisto.
Nimefika pale nikaendela na jeuri zangu! Nikaitisha shisha na Jaggermeister kubwa na vichanganyio vyake kwa aliyetaka kuchanganya!
Tukaendelea na bata letu pale sasa kuna muda nikachomoka kwenye toilet, wakati natoka ile ambayo ilikuja kwa ajili ya mshkaji nikakuta inanisubiri nje ya toilets! Mara paap ikanivuta, ikanikata kiss moja matata la mdomo! Ikambia chukua namba yangu alafu uhame hapa utapokwenda utaniambia!
Mi nikarudi zangu mezani nikachomoa 30k nikamshikaisha mwanangu nikamwambia babuu hapa nishawake naweza kuwakimbia muda wowote! Nikazuga kimtindo nikachomoka kama naenda toilet vilee kumbe ndo nahama kama pisi ilivyotaka! Nikatafuta kiwanja kikingine nikatoa code kwa ile pisi, haikupita hata dk 15 pisi ikafika ikanaambia tutafute Lodge tukapumzike. Mzee baba sikupoteza muda tukanyaka zetu Lodge chaap.. Nikajichakatia Mbususu saaaafi mpaa morning! Pisi nikaipa posho yake kwa kazi nzuri iliyoifanya ikapita hivi[emoji23][emoji23]
Nakuja kuhesabu kilichobaki sasa, Nna 16500 tu.. naikaikumbuka sana ile 30k nlomgee mshkaji wangu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi ndo nipo nasumbua ndugu hapa wanikopeshe walau alfu kumi.

Hii ni baada ya kulipia bili za watu wote niliowakuta mgahawani jana
Kwa tsh 86500.

Ni stori ndefu kidogo lakini tu kiufupi dharau zinaumiza sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]
 
Kipindi nipo Dar niliwahi kuiba prado nikaenda kwenye besdei ya dada mmoja,

Halafu baada ya mda ananiona nakatiza na miguu magetoni na kibegi changu, lakini lengo lilitimia maana alikuwa na dharau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yule demu aliponipa mzigo tako tatu wadhungu hao. Nikasingizia sijala ngoja nile nimpe show za WWE John cena you can't see mee. Nikala chips ndizi mishikaki. Nikampq romance kupima oil naona huyu kashaiva nikachomeka kupiga take tatu wajapan hao. Nikaona sasa hapa mbona kazi sana. Nikaona ngoja nizuge zuge kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV. .

Alipoamka nikaona nitumie nafasi hii kumuonyesha show ya kibabe. Kupiga tako nyingine tani aisee wazee hawajakosea siku ya kufa nyani kweli miti yote huteleza. Kupiga tako nikajikaza yani kufika tako ya tano tu tena nimejikaza nikawa na uma na meno wahindi haoo. Aisee what an embarrassing day.

Kurudi kwenye mada, ili kurudisha heshima nikamuliza demu hivi unaishi wapi? Akajibu magomeni nimepanga chumba elfu 70. Nikaanza kujiongelesha hapa inabidi upange sinza chumba laki na hamsini. Nataka nikukipie kodi ya miezi kumi. Kwanza kabla sijasahau shika hii laki. Ukifika nyumbani nakutumia hela nyingine ununue vitu vya nyumbani hiyo laki ni nauli tu. Hata samsung unayotumia sio simu ya maana nakununulia iphone.

Alipoondoka na laki yangu nikatupa line nikasajili line nyingine kwa mpita njia. Huyu dada tulikutana kwenye mwendokasi. Hata mwendokasi sipandi tena nawasiwasi naweza kukutana nae huko [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaaah
 
Kudadadeki..[emoji23][emoji23]

Siku hiyo nimeweka mkeka wa tsh 1000 nikambabua kanjibahi 480k, balaaa lake ule usiku sasa..
Nikamuita mwanangu mmoja pale Rainbow njia panda ya area D, alafu kuna pisi moja matata ikakatiza mbele yangu, nikaaita then nikawaitia muhudumu wa masanga na msosi nikamwambia wasikilize hawa! Baada ya yote nikaiambia ile pisi hauna mwaenzako mzuri kama wewe umwambie aje hapa? Akasema akampigia mimi hapo nikawa nimeshajimikilisha hii pisi hiyo iliyoitwa iwe pisi ya mwana ili nae asikae kinyonge..
Pisi iliyoitwa ikatimba ila ikawa ni kali zaidi ya ilotangulia, mzee mzima tamaa ikanijaa na nnae kibunda cha kanji, nikaona yes naweza kuhamisha mlima. Kwenye harakati za kuhamisha mlima pisi ilotangulia ikamind sana ikatema shit za kutosha then ikambeba shost ake wahame kiwanja.
Baada ya mimi kuona nimeharibu nikalipa bills ili na sisi tuhame pale. Ile tunatoka nje na mwaangu nikakuta zile pisi zinapatanisha boda boda ili zing'oe! Basi mimi kwa jeuri na kujiamini kwa kibunda cha kanjibahi nikawafata nikawaambia wadada wazuri kama nyie hampaswi kuoada bodaboda, nikamuuliza dereva wanataka kwenda wapi hawa? Jamaa akaniambia The Bisto! Nikuuliza nauli sh ngapi? Jamaa akasema elfu 7, Mi nikatoka 10k nikamgea yule boda nikamwambia achana na mademu endelea na abiria wengine hawa tubaondoka nao sisi, jamaa kiroho sayona akapita hivi! Mi nikatafuta Bolt pale chaap tukaruka mpakaThe Bisto.
Nimefika pale nikaendela na jeuri zangu! Nikaitisha shisha na Jaggermeister kubwa na vichanganyio vyake kwa aliyetaka kuchanganya!
Tukaendelea na bata letu pale sasa kuna muda nikachomoka kwenye toilet, wakati natoka ile ambayo ilikuja kwa ajili ya mshkaji nikakuta inanisubiri nje ya toilets! Mara paap ikanivuta, ikanikata kiss moja matata la mdomo! Ikambia chukua namba yangu alafu uhame hapa utapokwenda utaniambia!
Mi nikarudi zangu mezani nikachomoa 30k nikamshikaisha mwanangu nikamwambia babuu hapa nishawake naweza kuwakimbia muda wowote! Nikazuga kimtindo nikachomoka kama naenda toilet vilee kumbe ndo nahama kama pisi ilivyotaka! Nikatafuta kiwanja kikingine nikatoa code kwa ile pisi, haikupita hata dk 15 pisi ikafika ikanaambia tutafute Lodge tukapumzike. Mzee baba sikupoteza muda tukanyaka zetu Lodge chaap.. Nikajichakatia Mbususu saaaafi mpaa morning! Pisi nikaipa posho yake kwa kazi nzuri iliyoifanya ikapita hivi[emoji23][emoji23]
Nakuja kuhesabu kilichobaki sasa, Nna 16500 tu.. naikaikumbuka sana ile 30k nlomgee mshkaji wangu[emoji28][emoji28][emoji28]
Easy come easy go
 
Daahhh mamaaeee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inferiority complex isn't my issue , nitafanya Ile kitu napenda lkn siyo kuonesha umwamba kwa yoyote
 
Dah nakumbuku ilikuwa kibondo hiyo nipo na wanangu kama wanne iv na mimi watano tulikuwa tunacheki game ya simba na yanga kwenye bar moja iv ya wanajeshi sasa mimi na crew yangu huwa tukikaa sehem tunapendelea kunywa sana spirits hasa k vant sio kwamba pesa hamna pesa ipo sana tu ila ni pombe ambayo tulitokea kuipenda sana! Sasa wakat tumekaa tunaendelea kucheki game maana crew yetu wote ni yanga na tulikuwa tunakunywa k vant kubwa tuna share wote watano mbele yetu kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa serengeti light yeye alikuwa ni mshabiki wa simba

Sasa kwenye utani na kushangilia jamaa akawa kama anatumind iv mixer dharau nyingi mara jamaa akaropoka “ nyie vipi nyie kwanza mnakujaje sehem kama hizi kundi alafu mnakunywa k vant moja watu 5 mnajaza nafasi tu pisheni watu wenye pesa zao wakae hapo” dah haya maneno tulivyoyasikia tukaangaliana kwanza alafu tukacheka mimi nikasema ngoja nimuoneshe huyu jamaa kwamba sio kila anae kaa sehem nzuri akanywa kitu cha bei ndogo sio kwamba hana hela ni maamuzi tu!

Basi nikamwita mhudumu nikaongea kwa nguvu nikamwambia mpe huyo jamaa shabiki wa simba creti la bia anayo kunywa alafu mwambie shabiki wa yanga anae kunywa k vant amekununulia! Kweli jamaa akapewa creti na akaambiwa kuwa limetoka pale jamaa akawaka hamna pesa ya kuninunulia bia nyie akamwambia mhudumu rudisha nitanunua kwa pesa yangu kweli akatoa pesa nikarudishiwa hela yangu ya creti moja mara jamaa yangu mwingine na yeye akasema mpelekee creti jingine mhudumu akapeleka jamaa wa simba akajifanya kuvimba aka punch tena akasema pesa ninayo na nunua mwenyewe tukarudishiwa tena pesa yetu kwaiyo jamaa wa simba akawa amenunua creti 2 za bia bila kupenda kisa sifa mbele za watu! Mpira ukaisha tukawa tunaanza kusepa tupo tunaelekea parking mara ghafla tunaona jamaa anakuja kwa upole eti tukamuombee kaunta wamrudishie japo pesa ya creti moja sabab creti mbili hawezi kunywa zote tukacheka sana tukamwambia we komaa tu mzee tukamuacha pale jamaa anatia huruma sana sifa zimemponza

Meneja wa bar alikuwa captain alimwambia bia tumeshauza pesa haiwezi kurudi [emoji28][emoji28]
Hii bar ipo kule chini ukivuka ofisi za wakimbizi, band ya jeshi huwa inapiga mziki weekend. nilikaa kibondo weekend moja tu ila panawaka
 
Kama Kuna demu anapagawa na mshamba wa aina hiyo nampa pole

Kwangu namuona Kama boya fulani hivi
Tatizo ni kwamba you will never see it coming, especially when it is done to you, your guy anakupeleka shopping spree utakataa? Vitu vingi sana wanaume wanafanya kum impress mwanamke na vingi havitok rohoni na wanajua thru that watakuwa RESPECTED NA RECOGNIZED, every man huwa anaflex akiwa na hela in one way or the other, ukiona mtu haflex kivyovyote vile ni either hela anakula mwenzako au this dude is super broke, Mwanaume huwa anapenda ajitambulishe kwa namna tatu,
1. Who he is
2.What he does
3 Na lastly how much he makes na hili la tatu ndio tatizo..Flexing ipo kwenye traits za mwanaume asije akakudanganya mtu, if your a girl jaribu kuangalia namna relatioship zako nyingi zilivyoanza ndio utaelewa nasema nini.
 
Kuna mpangaji wetu alikuwaga na tabia hiyo sifa,pesa ya umeme ni 5000 lkn analitoa bunda la pesa anachomoa 5000 tu_tena anakuitia mlangoni kwake, au analiweka mezani uzione[emoji23][emoji23]
Uyo alkua anataka akule kimasihara
 
kutoa pesa ili nijimwambafy sinaga hiyo hulka mi kiboko yangu ilikuwaga pombe, ikishakaa kichwani naweza kusanya watoto mtaa mzima nikawanunulia juisi, baa nakaa kaunta namnunulia bia mtu yeyote atakaeongea na mimi kwa furaha hata kama simjui, laki 2 inaisha kimaskhara asubuhi naamka na hangover sina hata mia mbovu. Nikaona huku kurogwa huku saivi sitaki hata kuiskia pombe
Kutoa pesa ili.....ila kiboko yako ukinywa pombe.....hapo mbona unaongea lugha moja siku zote kufanya jambo flan ambalo hukua umepanga huwa linaletwa na msukumo flan either hasira,furaha,huzuni,ghadhabu etc so na wewe upo mule mule
 
Back
Top Bottom