Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Ila kuna wageni wengine vichomi eti. Uwiiii.

Yaani hata ujitahidi vipi lazima tu wakifika wanakoenda hawakosi la kusema.
Yaani ipo hivyo, binadamu hatunaga shukrani, yaani unaweza fanya mema elf siku moja kosea kama binadamu au yeye ndiye asababishe Mungu utahesabiwa yote mabaya wakati umemfanyia mazuri kuzidi hata kwa baba yake.
 
Aisee nilikaa kwa ankoli huko mbali ila jaman ankoli peace mkewe mara nimpigie deki mara nimpigie nikamwambia jamaa hapa umekunywa nje demu akasepa na mm nikasepa. Ila alikua anaionyesha upaja jaman. Mjomba anafaidi.
 
siwezi kukaa kwa ndugu kwasababu najijua sipendi kwenda kanisani, hua inaleta mzozo
Mi ukikaa kwangu ni lazima uende kanisani au msikiktin mzee. Tena jion kabla ya kulala lazima tusali pamoja wote na kila mmoja ana siku yake ya kutoa tafakar. Mi sina mbingu ya kukupeleka kaka kwahiyo maadamu unaishi kwangu utasali hutaki unaondoka simpo. Kwangu kila jmos tuna lisaa la kUdiscus kuongea kinachokukera na nini kifanyike ili maisha yawe mazur. Umeamua kuja kuish kwa mtu lazima ujue kila nyumba ina utaratibu wake na muhim kwako kuuheshim huwez then tembea cnaga mbambamba. Cwez kuja kufanya watoto wangu wa kisasa bila displin kwasababu yako. Ikitokea ni nyumban day aisee wote kila mtu anafanya usafi cnaga cha House girl wala house boy cku hiyo wote ni front kuanzia watoto mpaka baba. Haya maisha bila ukuda kidogo mitoto inaharibika sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama na kufahamu vile. Kwa Mwakal.... J?
 
Kuna mwaka nilienda mkoa nikafikia kwa blaza alikua anaishi na mke wake, watoto wawili na beki tatu, mimi na blaza tulikua tunaenda vzr kabisa, nilikua nawahi kurudi home nakuta wenye nyumba hawajarudi yuko dada tu na watoto, kusema kweli yule mtt wa kirangi alikua vizuri sana slowly tukaanza kujenga mazoea nikirudi namzingua mixer kumshika manyonyo demu anafurahi hatari, siku moja nikawahi kurudi nikasema leo lazima nimtombe kweli kufika nikamzingua mtt kaelewa nikaweka palepale sitting room, kuanzia siku hiyo wenye nyumba wakiingia kulala mimi naenda chumba cha dada natomba, sasa siku hiyo nikaenda kama kawaida yangu tukaanza mizamuano kumbe shem alikua hajalala akawa amekuja ghafla chumba cha dada kuchukua nguo ya mtoto kanikuta juu ya kifua cha dada yule shem alipiga kelele hadi majirani wakasikia, akawa anamuita mume wake njoo uone mdogo wako anambaka dada, nilijaribu kumpliz akae kimya ila ndo kama namwambia aongeze sauti nilichofanya nilitoka fasta chumbani nikaenda kwangu nikavaa viatu nikatoka nikasepa, hapo ni kama saa tano usiku nikaenda kulala nyumba ya jirani kuna jamaa alikua amepanga, asubuhi nikasepa sikutaka kukutana na ile aibu, sasa ni zaidi ya miaka 15 sijarudi pale hata nikienda huo mkoa wanasikiaga tu kuwa nipo mjini, kifupi yule shem alizingua na sijui nini kilimtokea beki3 huko nyuma.
 
Wanawake uwa wana wivu Sana, inshu ya solve kimyakimya yeye anapiga ukunga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
RUDI UKAMCHUKUE MWANAO
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Uondoke kisa wifi?!!ACHA utoto dada..muache huyo mpita njia ila punguza bajeti ya ndani nnua vitu vichache then muache apike anachotaka huyo mpita njia tu
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesoma comment zote watu wamenyanyasika.ila kiukweli mimi nilienda kuishi kwa mjomba wangu kipindi hicho najitafuta niliishi vizur miaka 5 sikuwahi kunyanyaswa hata siku moja wala kufokewa au kusemwa.

Nakumbuka niliishi maisha mazuri nikiwa hom tu pale kulikua na beki 3 yeye na aunty ndo walikua wanamaliza kila kitu, labda kazi kiume labda kubeba kitu ndo nilikua nawasaidia tu.

Niliishi kama nyumbani, nakula vizur hadi uhuru kama nyumbani, nilipewa mpaka ufunguo wa geti la nje ili nikitoka huko nisigonge geti, yule aunty yangu ana moyo wa ajabu sana yaani sijawai kuona mtu ana roho hiyo. Yaani mtu unaishi mpaka unasema hivi huyu mbona ananijali hivi.

Mpaka leo huwa namkumbuka sana na fadhila zake huwa simalizi mwezi bila kwenda kumuona na zawadi kidogo.

Kwahyo ndugu zangu wapo watu wana roho nzuri ni wachache tu ndo wanasahau kama haya ni maisha tunapita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…