subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
Hiyo nidharau ushawahi kujiuliza hizo finger print ulizonazo uliwekewa Kwasababu gani huwenda ukaanza kuelewa anayemiliki hiyo teknolojiaWafia dini wataleta hekaya zao za Biblia na Quran sasa hivi.
Elechi Amadi.1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
Mine boy by Peter Henry AbrahamsKuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.
View attachment 3441248
UNa nakala laini urushe hapaMine boy by Peter Henry Abrahams
nina nakala yakeKaptula la Marx - Euphrase Kezilahabi
duu sijawahi kuskia hiki1.The Godfather by Mario Puzo
2.Wizard of the crowd by Ngugi Wa thiong'o
Mkuu naomba nisaidie hiko the great ponds kama una soft copy1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
Mwenye soft copy ya Things fall Apart naomba Tafadhali
Tlaahtlaah, Tlaahtlaah!Ngoswe: Penzi Kitovu Cha Uzembe by Edwin Semzaba na 48 Laws Of Power by Robert Greene, hivi vitabu ni moto wa hisia za mapenzi kazini na mbinu mujarabu za kufanya siasa bila kuadhirika au kuumia kindezi ndezi 🐒
We noma mkuu!Riwaya za ben r mtobwa. Kiguu na njia,zawadi ya ushindi, dares salam usiku, roho ya paka,nyuma ya mapazia, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram,tutarudi na roho zetu,mwalimu mwenye mkono wa bandia,mpishi mwenye kibiongo,kipofu mwenye miwani myeusi.riwaya ya c.g. mung'ong'o inaitwa mirathi ya hatari.
Riwaya za euphraze kezilahabi Nagona,mzingile,rosa mistika.riwaya simu ya kifo kama sio msiba itakuwa katalambula ndio mwandishi.
Riwaya ya gabriel ruhumbika inaitwa janga sugu la wazawa.
Riwaya za shaban robert adili na nduguze, maisha yangu na baada ya miaka hamsini, wasifu wa siti binti saad .nimechoka kuandika ni nyingi sana nimesoma hizo zote hapo juu nimesoma achana na zile za olev na advance.
Tamthiliya za mashetani,kitumbua kimeingia mchanga pambo,ngoma ya ng'wanamarundi,tendehogo
Mashairi, da diwani ya mnyampala,ya mathias mnyampala, utenzi wa nyakiiru kibi.
Riwaya za safari ya chinga,safari ya prospa ,kisiwa chenye hazina, shamba la wanyama .wadau nivingi nimesoma.vingine nimeanza kuvisahau.