Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Rais anampenda mke wangu
Machozi na damu
 

9. Kisiwa chenye hazina
Hicho cha Alan Quarterman pia
Alan Quarteman ile story ya kibibi Gagula
Hiki ndo kinaitwa mashimo ya mfalme Suleiman. Unakutana na Umbopa mzulu asiyeogopa vita, bwana makumazani, mfalme Twala na kigagula mwenyewe
 
Song of lowino
Song of okelo moja kati ya poems bora kabisa

 
Nilimtesa mwalimu wa English na kitabu cha The great pond. Nilikuwa nakitumia kwenye kila mtihani halafu mwalimu hakuwa amewahi kukisoma wala kukiona ila kwenye orodha kilikuwepo.
 
Hivi vitabu vilinifanya nipende shule sana
 
Nilimtesa mwalimu wa English na kitabu cha The great pond. Nilikuwa nakitumia kwenye kila mtihani halafu mwalimu hakuwa amewahi kukisoma wala kukiona ila kwenye orodha kilikuwepo.
hatari sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…